Mwanaume ukilalamika hivi hutokuja kuoa, sasa unataka mkeo apewe pesa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume ukilalamika hivi hutokuja kuoa, sasa unataka mkeo apewe pesa na nani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Sep 26, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Kama Wanawake wataendelea na hii tabia,sitoshangaa wanaume kuendelea kuweka mgomo wa kuoana kuendelea kulalamikiwa kwamba wanawachezea...
  Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu,hata wiki hujamaliza unaanza kumwambia Baby naomba kama una laki 3 haina kazi ya haraka haraka natakiwa nikakomboe dressing table yangu kwa fundi...Laki 3 ya haraka haraka??Mshahara wenyewe tu sipewi haraka haraka nausubiri hadi mwisho wa mwezi,we hiyo haraka haraka itatokea wapi??Kama unadhani kuna hela ya haraka haraka itafute uone,mbona we hauna?Dressing Table uweke oda ww,mimi sikuwepo,halafu kuilipia unapiga mzinga huku...haya hilo moja.
  ..Mara utasikia Baby naomba hela nipande Bajaj daladala ntachafuka,sio mbaya its ok,sh ngapi Bajaj itakutosha..Elfu 30..khaaKwani siku hizi kuna Bajaj za Dar kwenda Moro?Arrgh bora chama la Bachela,wizi mtupu...Bado hujaombwa hela ya BBM ime-expire.Si ununue mwenyewe,kama huna na wewe Expire.
  My take: haya sio maneno ya saint ivuga nimeyaokota kwa watu huko wakilalamika mm nahudumia CUTE wangu na wala yy sio mtu wa mizinga
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Nimeuliza tu swali.... Life is hardi kila sehemu but kwa maneno kama haya mkeo apewe pesa na nani..? Akimegwa je utamlaumu nani?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Du poleni wanaume, lakini si ndio mnajihakikishia uanamume wenu kwa kutegemewa?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Ndio hivyo sasa hii mimi nimeikuta sehemu mtu analalamika na ndio maana ikanikera kwani hii haihusiswi wanaume wote.
   
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Ni utoto tu ukikuwa utaacha..
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Nani....?
   
 7. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Saint Ivuga, hapo umenena ukweli kabisa. hiyo tabia inazidi kukua na inakera sana. utashangaa hata zigo hujapiga zinaanza kuingizwa invoice tena kubwa tu.
  hizo pesa za haraka wala si sh. 30,000/=, ni mwendo wa kati ya 300,000/- na 500,000/-
  shuhudia sasa pesa za rent. amepungukiwa kidogo anataka nusu yake tu (miezi 6). mama/baba mwenye nyumba anamsumbua.
  kupata mke siku hizi ni shughuli kweli.
  mahitaji ni kwa kila mtu, ila wengine wapo kiuchunaji zaidi.
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kwa hivyoo.......Hapana, halafu anaomba hivyo hata basi awe na tricky ya kukuuliza magumu ya kazi yako, mipango yako ya baadaye n.k yeye mbio kwenye pocket..............Ndiyo maana tunakuwa rude sometime
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  my dear Kaunga pesa ya kupewa ni tamu sna. ila tu upewe pasi kuomba bana. uzuri kila mwanaume anataka atambulike kwa uanaume wake na kuonyesha kabisa kwamba yeye ni kidume basi financial assistance kubwa anaprovide yeye.

  laki pia kuna wanaume ambao hawapend wake zao wachoke na kuchaa kwa kazi na wengi nilio waona wa aina hii ni waislamu( kumradhi sina maana ya kukashifu dini). wao ni hodari hata wa kununua udi na marashi kwa ajili ya wake zao. na hawapend wachoke kwa kazi ngumu wanataka wakae ndani wazid kuwa soft na wenye mvuto. nafikiri hawa wanaenjoy sana maishaha ya kuwa wake za watu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Hayo sio maneno yangu
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Single bwoy....siku izi kwa kudanganyana mvulana msichana ishakua poapoa tu...
  Ila inategemea na gia uliyoingilia na yeye akakusoma akajua upo kimaslahi so na yy akajiweka kimaslahi zaidi...hakunaga mapeenziiii...
  Eniwei, najua kuna wale magubegube ambao hata mwanaume awe honest kiaje ye bado yupo kimaslahi...hao labda lara 1 anajua jinsi ya kuwasaidia.
  Kwa sisi waoaji ambao at times tumekua victims wa vitendo ivo vya uchunaji basi uvumilivu tu ndo silaha na kama kabisa hutaki hayo yatokee...nenda kachumbie kijijini Sitindi kule kwa prof jay...af mlete mjini..lol.
  Ni hayo tu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hili jambo la kuhonga a.k.a kupigwa mizinga na mpenzio kwa kweli sio la ku'generalize'....wengine tusipopigwa mizinga na wapenzi wetu vichwa vinauma tukihisi tushaanza 'kuibiwa'!
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Unapatikana mitaani gani wewe?
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tatizo lenu wanaume mnapenda kujifanya mnazo sana.Unapoanzisha mahusiano acha kujifanya matawi ya juu eti nafanya kazi TRA au usalama wa taifa..Kama unauza maji kwa mkokoteni we sema tu.Nina uhakika hata huyo dada atakuchukulia jinsi ulivyoji-present
   
 15. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,356
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Unalalamika nini wakati ulimtongoza kwa mbwembwe..
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi sipendi kupiga mizinga
  ila sipendi mwanaume bahili
  sipendi kuomba lakini napenda kupewa
  mwanaume ni kucare bana
  kama vipi usinitafute!
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  St Ivuga et al sikieni hii iliyonitokea jana. Jana nilienda kununua pizza Blue Heroine (kwa wenyeji wa Arusha watakuwa wanaifahamu - ipo Haile Selasie), nikiwa hapo nikaanza kumtania mhudumu (binti). Alitaka nikae kiti alichonichagulia ili niwe naangalia TV wakati nasubiri order yangu (take-away), nikamwambia: "TV ya nini wakati sura yako ni TV tosha kwangu?" Nilipokuwa naondoka baada ya kulipa (nilimwachia tip ya buku mbili kwenye bill folder), akanichomekea: "Naomba hela ya matumizi"!

  Mind you; hata jina lake sikuwahi kumuuliza, sikuomba namba ya simu pia! Maybe MadameX, Kongosho, gfsonwin and Kaunga - and the likes - will explain that to our satisfaction!
   
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nimekupenda pia!
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  very very trueeeee! wanataka wakiikamata waisugueeeee waiache pana kama jua! lakini invoice zao wanakata buku kumi! full maubahili! jamani mpite mbaliiiiiiii mabahili, wacha iote mabui bui na nyasi! lol
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  umeona eee madamX anafaa! lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...