Mwanaume ukifanya hili jambo hapo ndio utagundua we ni malaya uliyetukuka

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Hamna kitu kibaya kwa mwanaume kama kurudia kutongoza mwanamke uliyewahi kulala nae kipindi cha nyuma.

Wengi wetu huwa tunajitetea kuwa tukishalala na mwanamke maramoja alafu
ikatokea tukaachana basi tunawafuta mawazoni kabisa kiasi kwamba ikipita muda fulan tukakutana nao tena hatuwezi kuwakumbuka.

Bado najiuliza ina maana ni sisi tu wanaume tunaopoteza kumbukumbu au hata wanawake nao hupoteza kumbukumbu ya wanaume waliowahi kulala nao? Mara nyingi wanawake wanakuwa na kumbukumbu ndio maana kuna wakati ukienda kumtongoza anaweza akakukumbusha kabisa ukabaki unajishtukia.

Umalaya una kiwango chake ila ukishaona umalaya wako umefikia hatua hadi unawasahau wanawake uliowahi kulala nao na kuanza kuwatongoza upya ujue we ni Pro malaya.
 
Tunahangaika na maisha umalaya.... [HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Mara ingine tunalazimika kutongoza mwanamke kwa mara ya pili sio kama nimesahau...bali pengine hatukuwa na mawasiliano mazuri tangia NIGEGEDE..sasa ili NIMTAFUNE tena,, yabidi niingie na GEAR mpya kabisa ambazo hato chomoka..TENA..
 
Kuna wakati kumbukumbu zinapotea hasa kama huyo mtu hakukufanyia baya au zuri, au hamkupendana kiviiile
Duuu mtu akutie hlf kumbukumbu zipotee aje kukutongoza tena usijue?hiyo maana yake kwa mwezi unaliwa na wanaume zaidi ya 3 hivyo madume 36+ kwa mwaka na miaka miaka 3 ni madume 108 hapo unaweza kusahau kbs ila km mwaka mmoja wanaume wawili huwezi kusahau...
 
Duuu mtu akutie hlf kumbukumbu zipotee aje kukutongoza tena usijue?hiyo maana yake kwa mwezi unaliwa na wanaume zaidi ya 3 hivyo madume 36+ kwa mwaka na miaka miaka 3 ni madume 108 hapo unaweza kusahau kbs ila km mwaka mmoja wanaume wawili huwezi kusahau...
Kama najiuza je?
 
Kurudia kutongoza kawaida sana. Hata unaowakumbuka kama mmeachana muda lazima utongoze upya!!!
umesema ukweli kabisa
wewe ndo umeongea point
shida hapa sio kuwasahau bali gap inafanya uanze upya mtongozo

hahahahaha halafu inakuwa raha sana duuuuh
 
Mtalaka hatongozwi unashika mkono tu kwa kweli huwezi sahau demu ambaye ushamkula me nawakumbuka wote
 
Back
Top Bottom