Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi?
Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?
Msaada!
Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?
Msaada!