Kha!!! Mbona kawaida tu kwani yy hawezi kukupenda??? Ayo ni mawazo mgando!
ah ah ah, stori imeni remind tukio limetokea leo:
leo ofisini amekuja m customer anaongea na sales rep, wanapitia pitia specs za product, m customer akaomba aone picha ya product, sales rep akamwambia ngoja nikutolee brochure kabisa, m customer akamjibu kwa tabasamu bashasha, "You are not just a pretty face, are you?"
hii imekaaje ukizingatia wote ni wanaume.

Hii hapana haya mambo ya kusifiana sijui u r handsome na ni mwanaume mwenzako anakusifia haya mhhh anafika mbali huyo
ndo wapi huko bwana rocky
Sioni tatizo liko wapi mkuu maana na inategemea huyo mtu anayekuambia hivyo mkoje nae yaani uhusiano wenu
Maana haiwezekani mtu from nowhere anakuambia I love you na ni mwanaume
Kama ni brother or your best friend ambaye ni zaidi ya nzdugu yako sioni tatizo lolote maana wote mnajuana
Ila sio from nowhere mwanaume unamwambia mwanaume mwenzako unampenda
ah ah ah, stori imeni remind tukio limetokea leo:
leo ofisini amekuja m customer anaongea na sales rep, wanapitia pitia specs za product, m customer akaomba aone picha ya product, sales rep akamwambia ngoja nikutolee brochure kabisa, m customer akamjibu kwa tabasamu bashasha, "You are not just a pretty face, are you?"
hii imekaaje ukizingatia wote ni wanaume.
tuwaondoe kaka na ndugu wengine wa karibu...anaweza akawa ni rafiki wa kawaida tu...mmezoea kuchat kwenye simu..mara puuuu li sms,..i love you!!
khaaa...ila mwanaume hutakiwi uwe mzuri saaana!!!sasa wengine Mungu kawajalia kawaumba na sura kidogo zinafanana na dadake,..basi ndio kosa na yeye anatupia makosmetiks...noumer!!lazima ULAVIWE!![/QUOTE
Mkuu haikataliwi kuwa handsome ila with respect bana unakuw ahandsome na unatulia na uhandsome wako no make up wala cosmetics ni kawaida tuu