Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje?

nadhani umewahi sana kuomba ushauri ila sina uhakika kama ulimuuliza sababu ya kukutumiwa hiyo msg maana yawezekana amekosea hukuwa mlengwa ila najiuliza kwa nini umedhani wewe ni mlengwa ???
 
Jamani hii mada inanigusa..ishantokea mara mbili..kwanza mtu tulikutana fesibuku..akaanza ‘kulike‘ pics zangu..tulivoonana face to face akaanza kunambia ur hot..nkasema thanx..mara badae ur sexy nkashangaa..mwisho wa siku nkamtolea uvivu nkamwambia thats girlish we vp?Are u gay? Ndo akafunguka eti he‘s versatile na ananipenda!Nikamblock hapohapo.
Mwingine chuoni seniour year nkamwomba tudiscuss siku moja, hadi leo daily lazma antumie text ati ‘i love u,ur aweosme etc‘-namvutia kasi tu nimchane koz nshagundua wengi wanakuwa ni mashoga tu!
Kilichonikimbiza facebook ni huu ujinga huu wa mwanaume anaanza kulike picha zako. Mara anakutumia msg au chat anakuambia u r handsome mara hot mara u look sexy wakati ni mwanaume. Ahhh nikaona huku siko kusifiwa na wanaume au kutamaniwa na wanaume ni soo bora njiondoe tuu mapema. Na pale ni picha tuu wala hawajui kama hizo pocha ni zako au za kuazima.
Ahh huu uzungu huu ni soo k
 
pole mkuu facebook hakuna maana kwa sasa
 
kama nawe wampenda mwambie I love you too"
kama humpendi mweleze pia ... (au uchune tu ka hutaki kumuumiza)
 
ah ah ah, stori imeni remind tukio limetokea leo:
leo ofisini amekuja m customer anaongea na sales rep, wanapitia pitia specs za product, m customer akaomba aone picha ya product, sales rep akamwambia ngoja nikutolee brochure kabisa, m customer akamjibu kwa tabasamu bashasha, "You are not just a pretty face, are you?"
hii imekaaje ukizingatia wote ni wanaume
.

WANAUME WA UKWELI SIKU HIZI NI HABA SANA.
Unawezadhani umeolewa na dume kumbe ni jike mwenzio! Ngumu sana aisee.
 
kabisa mkuu
hakuna maana kabisa na waache masharobaro waeendelee kuuza sura kule

huko siku hizi ni vituko mara mtu anaguna watu wanacomment ... ah mara mtu anakuadd dk 3 nyingi anaomba contact oooh we HB mara nini mara nipe offer ya beer aaaah
 
huko siku hizi ni vituko mara mtu anaguna watu wanacomment ... ah mara mtu anakuadd dk 3 nyingi anaomba contact oooh we HB mara nini mara nipe offer ya beer aaaah

na maombi ya vocha nitumie credit na ukimpa no ya simu ndo umelogwa utapata beep za kufa mtu mpaka usiku wa manane
 
hahaha kule kumejaa mizinga tupu na wizi wa wazi wazi

Na wanafanya hayo bila hata kukuona sura yako wala kujua kwa uhalisi kama zile picha ni za kwako au ni za watu
Uzushi mwingi na nafikiri muda wote wanajua member wa pale yuko kusaka mwanamke
 
Na wanafanya hayo bila hata kukuona sura yako wala kujua kwa uhalisi kama zile picha ni za kwako au ni za watu
Uzushi mwingi na nafikiri muda wote wanajua member wa pale yuko kusaka mwanamke

hahaha maana unaweza kumkutanisha hata na fisi maana wamekuwa waroho... mara vocha ya kuchat kwenye fb imeisha nitumie nijiunge kwani ni lazima ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom