Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje?

Mkuu kuanza kuambiana na kusifiana eti u r too handsome aahhh mambo gani hayo bana
Mkuu nafikiri ujumbe unajua huyo jamaa anataka kuelekea wapi
NA utafikiri ni kosa la mtu kuzaliwa handsome

kaka kwa mfano m2 unazipata sana izo za ur so handsome...u must hav a very beautful woman..nk nk...but unachuikulia poa kumbe theres another side of the coin..ngastuka!!hahahaaaa
 
kaka kwa mfano m2 unazipata sana izo za ur so handsome...u must hav a very beautful woman..nk nk...but unachuikulia poa kumbe theres another side of the coin..ngastuka!!hahahaaaa

Nikikutana na wewe as a friend of mine na ukaniambia mara moja it is ok to me na nitakuambia asante na thanx to my mother aliyenizaa nikiwa handsome
Ila nikikutana na wewe the second and third times unaniambia the same thing hapo lazima nidoubt what is the matter
na sitasita kukuambia wazi inatosha i know na najua nimezaliwa na mzazi wangu nikiwa handsome and stop that shit of keeping on telling me that am handsome
 
Kikubwa ni mahusiano yenu yakoje je ni kweli marafiki? Je mnajaliana? Ila kinyume na hapo cjui mtu katoka atokako aseme i lov u hapana ther is an extra meaning behind!
 
Kikubwa ni mahusiano yenu yakoje je ni kweli marafiki? Je mnajaliana? Ila kinyume na hapo cjui mtu katoka atokako aseme i lov u hapana ther is an extra meaning behind!

na hata ngumi anaweza kupata aniambie kisa cha kusema hayo mbele zangu ni nini
Maana kama hatuna uhusiano kihivyo na unatoka na sababu zako unaniambia i love you sikujui ni issue mkuu
 
Ukiambiwa mambo unajibu poa,
Ukiambiwa hujambo? unajibu sijambo (sijambo shikamoo kama wewe ni dogo),
Ukiambiwa I love you, unajibu I love you too, simple!
 
acheni mawazo machafu, ni upendo tu wa kindugu. Binafsi nampenda sana Nguli na Rev. Fr. Masanilo

Mkuu wala sio mawazo machafu inategemea na anayekuambia mna uhusiano gani bana
Mtu sikujui hunijui unanitamkia mambo ya i love you
 
Unajua watu tunapenda kupindisha sana ukweli, kumwambia mwanaume mwenzako NAKUPENDA kwangu mimi siyo sahihi. Natoa ushuhuda wa ukweli, ilitokea nilikuwa na jamaa yangu fulani akajitahidi kunizoea na mwisho wa siku akawa ananitumia message tata. Mimi nilipotezea lakini kumbe kupotezea kwangu kulimpa courage kwamba mimi sina shida, jamaa akazidi kuonyesha hisia zake zaidi na ndipo nilipotambua kuwa jamaa si rizki! Nikajipanga kumpa fact, siku nikamwambia tutoke eneo ambalo ni baa pekee nikamuuliza vipi mkuu mbona SIKUELEWI? Akanijibu Mzee wa Rula elewa kama nilivyojielza kuanzia kwenye message hadi leo hii tupo hapa pls nisaidie? Nikamuuliza nikusaidie nini? Akacheka akaniambia MR hilo nalo swali? Anyway ni story ndefu, ila nilihitimisha kwa kumwambia A FRIEND CAN'T KILL HIS FRIEND, nikamnyooshea na kumalizia kuwa jambo hili hutalisikia mitaani, nitafanya kama kiatu kinavyositiri aibu ya soksi. Baada ya kumtema mshikaji akakata mawasiliano na haukupita muda nikamuona amevishwa pete! Basi mpaka leo hii tuna wasiliana nae lakini ameoa tayari na ana mtoto mmoja. YOTE HAYA YALIANZIA KWENYE MIZAH MIZAHA, NAKUPENDA, HALAFU WEWE MR HUKATILI WEWE, MKITANIANA SIKU NYINGINE ANAKWAMBIA IPO SIKU NITAKUPA MIMI WEWE!!! Mambo kama haya si ya kuyafumbia macho, imagine ndiyo angekuwa mwanao anawaambi rafiki zake I LOVE U, ungefanyaje?
 
Jamani hii mada inanigusa..ishantokea mara mbili..kwanza mtu tulikutana fesibuku..akaanza ‘kulike‘ pics zangu..tulivoonana face to face akaanza kunambia ur hot..nkasema thanx..mara badae ur sexy nkashangaa..mwisho wa siku nkamtolea uvivu nkamwambia thats girlish we vp?Are u gay? Ndo akafunguka eti he‘s versatile na ananipenda!Nikamblock hapohapo.
Mwingine chuoni seniour year nkamwomba tudiscuss siku moja, hadi leo daily lazma antumie text ati ‘i love u,ur aweosme etc‘-namvutia kasi tu nimchane koz nshagundua wengi wanakuwa ni mashoga tu!
 
Kama yuko straight haina la kujiuliza, itakuwa anakupenda kawaida tu, ila kama ni guy, hormo, bai....n.k jiulize mara mbili
 
feis buku nyie wadada mmezoea kuitana mpenz switheart mara shoga yangu ila kwetu ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa mwanaume hasifiwi sura
 
hapa tatizo ni ko-copy mira na desturi za kizungu na kuzimia directly kwenye bara giza bila editing
 
unajua watu tuko tofauti na kila mtu ana mawazo yake.Wewe hujawahi kusema i love u Jesus?kwani na yeye si mwanaume
 
kwa mtazamo wangu hapa tatizo ni copy and paste ya mira za ughaibuni
 
Jamani hii mada inanigusa..ishantokea mara mbili..kwanza mtu tulikutana fesibuku..akaanza ‘kulike‘ pics zangu..tulivoonana face to face akaanza kunambia ur hot..nkasema thanx..mara badae ur sexy nkashangaa..mwisho wa siku nkamtolea uvivu nkamwambia thats girlish we vp?Are u gay? Ndo akafunguka eti he‘s versatile na ananipenda!Nikamblock hapohapo.
Mwingine chuoni seniour year nkamwomba tudiscuss siku moja, hadi leo daily lazma antumie text ati ‘i love u,ur aweosme etc‘-namvutia kasi tu nimchane koz nshagundua wengi wanakuwa ni mashoga tu!
Upo sahihi, vijana wa siku hizi kuiga mambo kunatuathiri sana, penda wanawake n wamejaa wengi iweje umsifie mwanaume mwenzako tena kihivyo!!!
 
unajua watu tuko tofauti na kila mtu ana mawazo yake.Wewe hujawahi kusema i love u Jesus?kwani na yeye si mwanaume
Another mvuke, yaani Yesu kwa imani ya kikristo ni nafsi katika utakatifu wa Mungu yaani utatu mtakatifu! Sasa mtu akisema nakupenda Yesu anafanya reflection ya huo utatu na siyo mtu kama wanaume wengine. Halafu kwa imani ya kikristo mnasema kila goti litapigwa kwa Bwana Yesu, sasa kumsifia mtu atayekuhumu unaona shida mpaka ufuke moshi yesu nae mwanaume?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom