Mwanaume mwenzangu usiulize maswali haya kwa mwanamke

Hayo maswali wanaweza kuuliza wale wanaume ambao wakipata hela wanawaza kununua suruali na kiatu tu

GunFire
 
Ndiyo shida ya wanaume wengi..mwanamke Kama kakupenda Ni vyema akaelewa hali zako zote..siyo kila siku utakuwa nacho Kuna wakati mnaamka hamna kitu.
Kama wewe ni KE unastahili sana kuitwa wife material kwa sababu kama umendika hivyo kwenye mtandao ambao tunatumia IDs fake, hakika wewe ni bonge la mwanamke. Mbali na hapo unaonekana una constructive advice na pia unajua sana namna ya kumpa matumaini mwanaume pale anapokuwa katika hali ngumu kifedha. Nimekukubali.
 
Kama unajiona huna kitu usiulize maswali haya.

1:Umeshakula

2:Niambie una shida gani?

Hayo ni maswali chokozi ukiuliza tu lazima upigwe mzinga.


Je kuna maswali mengine zaidi.

CC Zero IQ
Ongezea;
Swali la MBONA HAUPATIKANI ktk simu, ukiuliza hapa unatafuta mzinga wa vocha.
 
Back
Top Bottom