Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wakishajiona wana vihela vya mboga tu na kuwekea mafuta gari basi wanavimba kichwa na kijiona wapo juu

Ukioa mwanamke aliyekuzidi elimu,kipato na Mali kwa kweli hautakuwa na sauti ndani ya nyumba

Yeye ndio atajifanya kichwa cha familia,ukichelewa kurudi kidogo atachonga sana,atataka simu yako aitawale kila msg na calls inayoingia atataka kujua inatoka kwa nani

Mwanamke atakuchunga kisa tu anajua ana hela na hauwezi kwenda kwa mwingine

Mwisho wa siku stress zinakuzidi unakufa

Sasa bora uoe mwanamke mwenye elimu ndogo,kipato kidogo huyu atakuheshimu na mtaishi ndoa ya furaha,Amani na upendo na utamtawala vyema .
Pamoja na elimu zao pesa zao tutaendelea kuwachapanao na kuwamwagia mbegu nzito
 
Pamoja na elimu zao pesa zao tutaendelea kuwachapanao na kuwamwagia mbegu nzito
Yaani wanaume bwana ndo lugha zenu za kujifariji hizo sijui huwa mnadhani wanawake tunaumia mkisema hivyo sasa kwani mwanaume kummwagia mwanamke mbegu ni kitu cha ajabu? Bila mama yako kumwagiwa mbegu na baba yako wewe ungezaliwa? Wasted Sperm.
 
Kama Vile Wanawake Walivyo na Uzuri wa Ndani Ambao Huwezi Kuuona kwa Macho Ndivyo na Sisi Wanaume Tulivyo na Pesa za Ndani Sana Huwezi Kuziona kwa Macho

Lakini Zipo!
 
nakubaliana na wewe. lakini hata akiwa na kipato kidogo haimaanishi hatakiwi provide. si ndio? au nakosea.? ila kuna kaujinga flani siku hizi hata sijui kinatokea wapi. na mwanamke kukuzidi kipato sio tatizo vile vile. maana tishachanganyana changanyana. mfano halisi mimi. mwanamke wangu kanizidi kidogo. ila heshima ipo. kwasababu nina msimamo. na na provide na huwa sina time na mshahara wake wala nini. maana najua kuna leo na kesho. si tuna watoto. hata kikanuka nikapotea ulinwengu huu na kwenda nyumbani kwa creator. watoto Mama yao atapambana nao. labda apate wehu
Mkeo kakuzidi mshahara lakini unaprovide si ndiyo? Point hapa ni kuprovide yaani kutimiza majukumu yako haijalishi una mshahara kiasi gani kuna wanaume hawaprovide wanawaachia wake zao majukumu yao

Au wanataka waprovide 50/50 na wake zao eti kwa sababu tu wake zao nao wanatafuta pesa halafu hao hao wanaume nao wanakuja kulalamika humu kuwa wanawake wa siku hizi hawana heshima wanapenda usawa sasa hapo kati ya mke na mume anayependa usawa nani?
 
talk is cheap...

yeah ni kweli kabisa kuna muda hata sisi wanaume tunakuwa na insecurity juu ya attitude zinazoonyeshwa na mwanamke. Lakini mara nyingi hii inatokea pale mwanamke anapobadilika ghafla namna anavyo behave hasa baada ya kuwa na kipato(kama alikuwa hana siku za nyuma).

Labda nikuulize swali ni kwanini ndoa/mahusiano mengi yaliyo taabani ni yale ambayo mwanamke ana kipato sawa au kamzidi mwanaume?
Kwa Sababu mwanaume unajihisi kutokamilika Kwa kushindwa kutimiza majukumu yako nyumban na yanakamilishwa na mwanamke hivo kila litakalofanywa na mwanamke mwanaume anahangaika kulitafutia mapungufu ili aonekane analinda nafasi yake. Mwanamke akichoka na kukosolewa akareact ndio hapo inapoonekana pesa ndo imeleta kiburi na sio binadamu mwenye hisia.
 
Hahahahaha. Hawa ndiyo wale aliowazungumzia Esther vilar..
Sahihi kabisa mkuu. Esther Villar nilimwelewa sana, wanaume wengi watengenezwa kuhusudu na kulea ujinga wa wanawake na kuwafanya wao malaika.

Mtu anakwambia ukiona tatizo fulani au mabadiliko fulani kwa mwanamke basi wewe mwanaume ndio sababu, si upuuzi huo.
 
Kwa Sababu mwanaume unajihisi kutokamilika Kwa kushindwa kutimiza majukumu yako nyumban na yanakamilishwa na mwanamke hivo kila litakalofanywa na mwanamke mwanaume anahangaika kulitafutia mapungufu ili aonekane analinda nafasi yake. Mwanamke akichoka na kukosolewa akareact ndio hapo inapoonekana pesa ndo imeleta kiburi na sio binadamu mwenye hisia.

Hapa umejibu/umeongelea kwa wale wana ndoa ambapo mwanaume ameshindwa/amekwama kutimiza majukumu yake kama baba/mume ndani ya familia/ndoa.

Sasa je, vipi kwa wale ambao mwanaume anatimiza majukumu yake kama kawaida lakini bado anapitia hizo changamoto!? yaani anakutana na hali ya kutoheshimika,kiburu,mabishano ya mara kwa mara na ushirikino duni kutoka kwa mkewe?
 
Mwanaume

Mwnaume akikaa kwny nafasi yake(majukumu) na akaonesha mapenzi na kumjali mwanamke, hizo dharau na kiburi cha mwanamke atakua anasoma kwny magazeti tu.hakuna kitu kinachompa mwanamke furaha km kuoneshwa mapenz na kujaliwa na mwanaume.kiburi na dharau ni matokeo ya kukata tamaa na ww
 
Back
Top Bottom