The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,521
Ni mkakati wetu kuwaamsha wanawake mlowakandamiza Karne na karne
It's about time
Ni mkakati wetu kuwaamsha wanawake mlowakandamiza Karne na karne
Nawaonea huruma mnaowaamsha.Ni mkakati wetu kuwaamsha wanawake mlowakandamiza Karne na karne
It's about time
Kwa kweli hao marioo au wanaume kama mabimti hao walaamiwe ...Waliletwa muwatawale lakini pia muwahudumie sasa hauhudumii halafu unataka utawale? Kumbuka ukikubali kumuachia mkeo majukumu yako basi ukubali kumuachia na nafasi yako pia Mungu hakuumba mwanaume kuwa marioo wala benten
Hahahahah acha unaaa hahahahahNawaonea huruma mnaowaamsha.
Hey hey hey heyyyyy
yaani nachoka mimi kuendelea kuwaelewesha watu wazima wanaojiita wanaume hebu wanipumzishe jamani loohMkuu umenionea
Hoja zangu nilitoa na baadhi ya wanaume humu wakakubaliana na utetezi wangu bila kushurutishwa.
Cha ajabu hii mada mmeiibua Tena ,ila hii tulishashinda tangu mwanzo
Mnamchosha tu Edeyln ,hii ligi tushachukua ubingwa kitambo
nakubaliana na wewe. lakini hata akiwa na kipato kidogo haimaanishi hatakiwi provide. si ndio? au nakosea.? ila kuna kaujinga flani siku hizi hata sijui kinatokea wapi. na mwanamke kukuzidi kipato sio tatizo vile vile. maana tishachanganyana changanyana. mfano halisi mimi. mwanamke wangu kanizidi kidogo. ila heshima ipo. kwasababu nina msimamo. na na provide na huwa sina time na mshahara wake wala nini. maana najua kuna leo na kesho. si tuna watoto. hata kikanuka nikapotea ulinwengu huu na kwenda nyumbani kwa creator. watoto Mama yao atapambana nao. labda apate wehuMwanaume uliumbwa kuwa ruler na provider hivi vitu vinaenda sambamba na haviwezi kutengana hata siku moja ukishaacha kuwa provider maana yake haufai pia kuwa ruler kumbuka ukikubali kumuachia mkeo majukumu yako basi ukubali kumuachia na nafasi yako pia
Ila hii tulishashindayaani nachoka mimi kuendelea kuwaelewesha watu wazima wanaojiita wanaume hebu wanipumzishe jamani looh
Kumbe mwanamke kukudharau hakuhusiani na kipato chake,bali nafasi ya Mwanaume wake.?wanawake zamani bana. mama.zetu. kizazi hiki cha nyoka vurumai tupu. na akiwa na pesa ndio balaa zaidi. hakukaliki kama mwanaume hauna msimamo. zamani hata kama mshua kipato chenga mwanamke anamsitiri. hata watoto hawajui kama baba mchovu. hata marafiki na majirani hawawezi jua. hata likitokea jambo walikuwa wakisema subiri baba flani arudi tuyajenge. na ndoa hizo zimedumu mpaka mwisho. sasa hawa wanawake wa sasa. baba usipokuwa msimamo watakuvuruga mpaka unadondoka. ndio maana hata mkiangalia vijana wengi sasa hivi wanafunga ndoa na kufariki ghafla fhafla. na matatizo ya moyo na sukari wanapata miaka kadhaa baada ya mdoa. nitaendelea kesho na gazeti la alasiri
Kuhudumiwa kwa kila kitu manaake ni nini? utapata yote yalio katika haki zako kama mke. To make story short, Utakula, Utavaa na Utalala pahali salama tu on top of that utatibiwa endapo utaugua wewe na watoto wako kadri ya uwezo nilionao kama mume wako.
Sasa kama una idea za kudai private jet katika hio kauli ya kuhudumiwa kila kitu, you must be dead wrong.
😃😃😃😆😆😆 Hawakawilii kudai ndege hawa watu eti kisa Mayweather kamnunulia mkewe.
haha...mkuu, hapo kwenye quote hapo.. watu si wangekua wanaoa na kuolewa na their first love? ama na watu wanaowapenda??. Moyo huwa hausemi uongo Remember!!!
Nikupe mfano hai,ofisi nifanyayo kazi asilimia kubwa ni wanaume.Almost asilimia 80 wameoa,ni wasomi wazuri,wana vipato vizuri,wengine wana vyeo vikubwa tu ofisini,ila wote hao wake zao wameishia la saba,kama kuna aliyesoma sana basi form 4 tena felia.Wanasema wanaogopa kuoa wanawake wasomi wenzao watawasumbua,ila kutwa kuchwa wanachepuka na hao wasomi wenzao,hadi wengine wamezaa nje.
Ila ukiwaona wake zao utastaajabu,huwezi dhania wanaweza kuwa wake wa maboss,kuanzia kimuonekano kwa maana hata kuwapendezesha tu wanahofu na wote ni mama wa nyumbani.So kwa mwanaume ili ndoa idumu na umkontroo mke,lazima umzidi tu kwa kila hali.
Mkuu hilo silijui manake siko karibu naoKwahiyo unafikiri hao wamama wa nyumbani ambao hawapendezeshwi, hawajasoma na form 4 failure hawachepuki???
Hili ndiyo tatizo. Majibizano yao mengi yanaathiriwa zaidi na hisia kuliko uhalisia na mantiki..Lkn nawe usiwe positive wakati wote kuwatetea Ke ktk kila inshu kama vile ni malaika ili tukuone hauko kiubishi zaidi bali ni ktk kuwianisha pande zote mbili(Ke na Me) mazuri na mapungufu yao.
Hahahahaha. Hawa ndiyo wale aliowazungumzia Esther vilar..manipulated man spotted