Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wakishajiona wana vihela vya mboga tu na kuwekea mafuta gari basi wanavimba kichwa na kijiona wapo juu

Ukioa mwanamke aliyekuzidi elimu,kipato na Mali kwa kweli hautakuwa na sauti ndani ya nyumba

Yeye ndio atajifanya kichwa cha familia,ukichelewa kurudi kidogo atachonga sana,atataka simu yako aitawale kila msg na calls inayoingia atataka kujua inatoka kwa nani

Mwanamke atakuchunga kisa tu anajua ana hela na hauwezi kwenda kwa mwingine

Mwisho wa siku stress zinakuzidi unakufa

Sasa bora uoe mwanamke mwenye elimu ndogo,kipato kidogo huyu atakuheshimu na mtaishi ndoa ya furaha,Amani na upendo na utamtawala vyema .
 
Pia usioe mwana mke masikini sana hajozea pesa hajui biashara na elimu ya darasa la 7 nawenyewe nishida kuelewa na kuzuia mawenge wakikuta pesa
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wakishajiona wana vihela vya mboga tu na kuwekea mafuta gari basi wanavimba kichwa na kijiona wapo juu

Ukioa mwanamke aliyekuzidi elimu,kipato na Mali kwa kweli hautakuwa na sauti ndani ya nyumba

Yeye ndio atajifanya kichwa cha familia,ukichelewa kurudi kidogo atachonga sana,atataka simu yako aitawale kila msg na calls inayoingia atataka kujua inatoka kwa nani

Mwanamke atakuchunga kisa tu anajua ana hela na hauwezi kwenda kwa mwingine

Mwisho wa siku stress zinakuzidi unakufa

Sasa bora uoe mwanamke mwenye elimu ndogo,kipato kidogo huyu atakuheshimu na mtaishi ndoa ya furaha,Amani na upendo na utamtawala vyema .
Wako wapi wanawake wenye elimu na Hela naomba niunganishe nao fasta naona hata kama niwatano
 
Kwahiyo wakati wa kutafuta mchumba wasiangalie moyo unapenda wapi waangalie kipato cha mwanamke ?
That is the great fallacy. Mnakuwa mnaji feel insecure tuu ila hatupo hivyo.
Samahani umeolewa tuanzia hapo naweza kukuchumbia haya mambo ya hela mm sina shda we nichape hata fimbo mbili kila siku kabla ya kulala ili mradi niwe nawe maishani haaaa eti wanawake wenye hela na eliku kubwa wananyanyasa naomba uninyanyase baby
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wakishajiona wana vihela vya mboga tu na kuwekea mafuta gari basi wanavimba kichwa na kijiona wapo juu

Ukioa mwanamke aliyekuzidi elimu,kipato na Mali kwa kweli hautakuwa na sauti ndani ya nyumba

Yeye ndio atajifanya kichwa cha familia,ukichelewa kurudi kidogo atachonga sana,atataka simu yako aitawale kila msg na calls inayoingia atataka kujua inatoka kwa nani

Mwanamke atakuchunga kisa tu anajua ana hela na hauwezi kwenda kwa mwingine

Mwisho wa siku stress zinakuzidi unakufa

Sasa bora uoe mwanamke mwenye elimu ndogo,kipato kidogo huyu atakuheshimu na mtaishi ndoa ya furaha,Amani na upendo na utamtawala vyema .

Hizo ni hisia tu (inferiority complex)
 
asili itabak kama ilivyo,mwanamke atabak ktk asil yake hata awe kiongiz wa nchi I mean atabak chin ya mwanaume.Ukiona mwanaume ananyanyaswa na mwanamke mwenye hizo power za uchumi,cheo n.k. kubali kataa huyo mwanume atakuwa na matatzo ya kialil e.g. zuzu,mtu aliyeish sana kwa kujitenga na watu na mambo mengne yanayofanana na hayo.Ukifatia wanawake wa aina hyo wanadate na mahouse boy,wazoa taka,wapakaj rang za kucha,au wale watu wanaofanya Kaz za day-worker ambao hao wanaume hujihis bahat kuwa na hao wanawake,pia ukifatilia hilo kundi nliloliorodhesha hapo asilimia kubwa wanakuwaga na matatzo ya ubongo sasa kwanin wasinyanyaswe
CONCLUSION; Mwanaume aliyekamilika kiakil hawez kutawaliwa na mwanamke
 
Back
Top Bottom