Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Mmmh pepo la kutokua na pesa toka nakukemea shetani wewe...pumb*** kabisa..
 
I strongly desagree!!

Hivyo ni vitu ambavyo mmeshajitengenezea.

Mwanamke kwenye ndoa/mahusiano awe na hela au asiwe na hela kazima kuna kipindi, atakosea, atakujibu vibaya, atachelewa kurudi nyumbani, atapika chakula kibaya. Na unaweza kuona anakudharau.

Ninachotaka kusema ni kwamba kitu chochote mwanamke mwenye pesa anachoweza kufanya ni kile kile anachoweza kukifanya ambaye hana pesa sema tatizo kwa picha mliyojijengea utahisi amefanya hivyo kwa sababu ana pesa au amekuzidi kipato.

Nyie wanaume ifike mahali msahau kabisa kuhusu mwanamke ana pesa au lah mchukulie kama mke wako hivyo vingine usiviangalie, kama amefanya kosa ona kwamba hamna mwanamke ambaye hafanyi kosa na usianze kufikiria in negative way.

Sasa mtu kazidisha tuu chumvi kwenye chakula bahati mbaya nyie mpo kuhisi ni kwa sababu ana hela. Hapana y'all lazima mbadili namna mnavyowaza juu yetu ili ndoa ziwe na furaha.
Leo kwa mara ya kwanza ndo nakuona umeshusha gazetiila umenena vyema mkuu hilo gazeti usingelishusha wewe basi lazima tu ningelishusha mimiila kwa vile umeshayaandika niliyokuwa nayawaza wacha nighairi tu kushusha gazeti langu nadhani wewe watakuelewa zaidi
 
And implementation is simple as that...!

Wanawake huwa hatubadiliki ghafla hasa baada ya kuwa na kipato .Bali nyie ndiyo huwa mnakuwa mnajihisi insecure pale mwanamke anapopata kazi.

Unajua mkuu , imezoeleka sana mwanamke amtegemee mwanaume kila kitu yaani, na kwakuwa mwanaume anapenda kutawala hapo anajiona yes! Wengine huwa mnatufanyia vituko huku mkijitamba "hana pa kwenda huyu hata nauli ya kwenda kwao ni hadi aniombe".

Tunapopata kazi au kipato hayo majivuno yenu huwa mnakosa pa kuya apply, maana unajua hapa nikifanya vituko hana haja ya kuniomba nauli atajiondokea tuu, hapo inaanza kukutengenezea mazingira kwamba mwanamke ameanza kuwa na kiburi kumbe wala hata hamna na wala hawazi chochote.

Back to your question.., mahusiano mengi yaliyo taabani ni Yale ambayo mwanamke ana kipato sawa au kumzidi Mume wake kwa sababu ya HOFU YA MWANAUME. See? Jibu linarudi pale pale.

Same thing applied pale mwanamke akianza kupendeza, kila anachokifanya unahisi anafanya vibaya kwa sababu ameanza kupendeza labda anatongozwa sana ( this is far from having money) .
Acheni Hofu bhana sisi tumeumbwa kuwaHESHIMU na kuWATII tumieni mamlaka yenu.
Absolutely
 
I strongly desagree!!

Hivyo ni vitu ambavyo mmeshajitengenezea.

Mwanamke kwenye ndoa/mahusiano awe na hela au asiwe na hela kazima kuna kipindi, atakosea, atakujibu vibaya, atachelewa kurudi nyumbani, atapika chakula kibaya. Na unaweza kuona anakudharau.

Ninachotaka kusema ni kwamba kitu chochote mwanamke mwenye pesa anachoweza kufanya ni kile kile anachoweza kukifanya ambaye hana pesa sema tatizo kwa picha mliyojijengea utahisi amefanya hivyo kwa sababu ana pesa au amekuzidi kipato.

Nyie wanaume ifike mahali msahau kabisa kuhusu mwanamke ana pesa au lah mchukulie kama mke wako hivyo vingine usiviangalie, kama amefanya kosa ona kwamba hamna mwanamke ambaye hafanyi kosa na usianze kufikiria in negative way.

Sasa mtu kazidisha tuu chumvi kwenye chakula bahati mbaya nyie mpo kuhisi ni kwa sababu ana hela. Hapana y'all lazima mbadili namna mnavyowaza juu yetu ili ndoa ziwe na furaha.
Hii comment natamani ingekuwa juu kabisa pale
Umemaliza kila kitu
 
Hao wachache ndiyo wanaokula mema ya wake sasa.

Kuna limama flani hivi Mumewe alikopa 8,00,000/= kalifungulia Mkewe mradi wa TIGO PESA, M-PESA & AIRTEL MONEY.

baada ya miezi 6 hv, Jamaa aliuguliwa Mama Mzazi(Mama Mkwe kwa Mke) akaenda kumwomba Mkewe 50,000/= ili amtibie Mgonjwa na ndipo ndoa ilipovunjikia hapo hapo baada ya Mkewe kumjibu Mume pumba eti "Hata nami wazazi wangu wana shida kibao lkn siwasaidii hivyo basi sina hela ya kukupa" ilihali pesa ipo kibandani.

Me alienda home kujipamba aliporudi kibandani alibomoa kibanda na kichapo juu kuchukua pesa, kesi ilisuluhishwa na Wazazi wote wa pande 2 lkn Jamaa alitwanga talaka papo hapo.

Ke ni Mama wa nyumbani na Me ni Mtafutaji kwa jinsi Mungu alivyotuumba kiuhalisia kabisa.
Kwahiyo wakati wa kutafuta mchumba wasiangalie moyo unapenda wapi waangalie kipato cha mwanamke ?
That is the great fallacy. Mnakuwa mnaji feel insecure tuu ila hatupo hivyo.
 
Hao wachache ndiyo wanaokula mema ya wake sasa.

Kuna limama flani hivi Mumewe alikopa 8,00,000/= kalifungulia Mkewe mradi wa TIGO PESA, M-PESA & AIRTEL MONEY.

baada ya miezi 6 hv, Jamaa aliuguliwa Mama Mzazi(Mama Mkwe kwa Mke) akaenda kumwomba Mkewe 50,000/= ili amtibie Mgonjwa na ndipo ndoa ilipovunjikia hapo hapo baada ya Mkewe kumjibu Mume pumba eti "Hata nami wazazi wangu wana shida kibao lkn siwasaidii hivyo basi sina hela ya kukupa" ilihali pesa ipo kibandani.

Me alienda home kujipamba aliporudi kibandani alibomoa kibanda na kichapo juu kuchukua pesa, kesi ilisuluhishwa na Wazazi wote wa pande 2 lkn Jamaa alitwanga talaka papo hapo.

Ke ni Mama wa nyumbani na Me ni Mtafutaji kwa jinsi Mungu alivyotuumba kiuhalisia kabisa.
Umeandika vizuri ila ulivyomalizia woga ndo unaanzia hapo
 
talk is cheap...

yeah ni kweli kabisa kuna muda hata sisi wanaume tunakuwa na insecurity juu ya attitude zinazoonyeshwa na mwanamke. Lakini mara nyingi hii inatokea pale mwanamke anapobadilika ghafla namna anavyo behave hasa baada ya kuwa na kipato(kama alikuwa hana siku za nyuma).

Labda nikuulize swali ni kwanini ndoa/mahusiano mengi yaliyo taabani ni yale ambayo mwanamke ana kipato sawa au kamzidi mwanaume?
Wanadai kuwa wanalea Marioo wa Dar Mzee Baba, so don't ask even judge about anything when you have kind of such Woman
 
Leo kwa mara ya kwanza ndo nakuona umeshusha gazetiila umenena vyema mkuu hilo gazeti usingelishusha wewe basi lazima tu ningelishusha mimiila kwa vile umeshayaandika niliyokuwa nayawaza wacha nighairi tu kushusha gazeti langu nadhani wewe watakuelewa zaidi
Hahahahahahaha yaani nikiwa naandika nikakukumbuka. Nikasema ndiyo nageuka Edelyn hivi hivi.
 
Back
Top Bottom