Mwanaume mwenzangu huwa unajitetea vipi?

Mkuu hio hali ni kawaida sana,, kaa kwa kutulia omba re-match ili uongee kwa vitendo...

Kama ni demu umekutana nae mara ya kwanza huenda ni wenge na kupania,, na kama ulijimwabafy kuwa una show za kibabe ndio kabisaaaa lazima ikukate..

Kaa tulia,,, ombe tena game then piga show ya uhakika,,Aibu ni mwanaume kukosa pesa tu hizo zingine ni moods na ni vitu vinaisha
 
Pale unapo piga show mbovu kwa demu yaani kigoli kimoja alafu chalii hua unajitetea vipi ili aelewe asikuone dume suruali hii imenitokea na sio kawaida yangu maana hua nakiwashaga sijui imekuaje usiku wa kuamkia leo alafu demu anakaa jirani mijengo inatizamana

Mwambia kiwango cha wana yanga ndio hicho kama GSM wasipotoa bahasha kwa timu pinzani
 
Pale unapo piga show mbovu kwa demu yaani kigoli kimoja alafu chalii hua unajitetea vipi ili aelewe asikuone dume suruali hii imenitokea na sio kawaida yangu maana hua nakiwashaga sijui imekuaje usiku wa kuamkia leo alafu demu anakaa jirani mijengo inatizamana
Mimi humwambia leo nimekula bajia ndio zimeleta shida hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom