Mwanaume mwenye gari akikuibia mke, mchepuko fanya hivi hatakusahau

Nkaupeleka polisi na utanilipa maana huna ushahidi nimemla mkeo

Ila si uungwana kutembea na mke wa mtu
 
Sasa hapo si nalipaka tu rangi na naweka na mlinzi juu, alafu kasi ya kumgegeda mke wake naizidisha maradufu.
 
Tuache fikra za kizamani, unaweza kuta hiyo nyumba ni yake au umejenga wote. Utamfukuzaje nyumbani

Fikra za kizamani ndio nini?? Fikra zakisasa ndio kwenda kukaa kwa mwanamke????.
You need to be man enough!.
Unaanzaje kwendakukaa kwa mwanamke.

Akizingua anatembeatu, swala la kugawana siolazma kujenganae mnaweza kugawana hatakama hakushiriki Kununua kifaa cha ujenzi kinachotakiwa ni kuondoka.
Tuache fikra za kizamani, unaweza kuta hiyo nyumba ni yake au umejenga wote. Utamfukuzaje nyumbani
 
Back
Top Bottom