Dah una moyo wa kipekee
Sa nifanyej ila nikiwakuta chumbani kwang ndo habari nyingine,..ntawambia wakae Kama walivokua wanafanyan afu ntaita wanangu waje washudie mama yao,..uku nimeshika bastola mkononi
Utaharibu watoto wasio na hatia,saikolojia ya mtoto ikiharibiwa ni ngumu mno kuijenga upya na kwa uimara
Mali kwa mali mana ukiua kwa upanga unakufa kwa upangaHahah aisee
Simpaka uwe nayo mkuuSa nifanyej ila nikiwakuta chumbani kwang ndo habari nyingine,..ntawambia wakae Kama walivokua wanafanyan afu ntaita wanangu waje washudie mama yao,..uku nimeshika bastola mkononi
Kweli mkuu mke akigawa ukimfuma dawa nikumuonyesha geti tu.Mkeo kaamua kugawa unamng'ang'ania wa nn