Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

hahahahahaha
Yani mimi nasema waibe twiga wetu lakini wasije wakamuiba Lemutuz....Kwangu ni mmoja wa viumbe vinavyo nipa furaha sana hakika kila nikimuona huwa nafurahi sana....hakika Lemutuz ni nyara ya taifa
Hila hapo kwenye extensio cable zenye urefu usio elezeeka na vifaa vya kunywea chai na coffee hakika nimecheka sana.....Msaga sumu ni mtu mbaya sana...
Hahaha...hiyo inaitwa promo..trolling!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le mutuz he's going to be employer

May Allah bless Me and You
 
Nimechekaaa. Msaga sumu kwenye Tasnia yake ya uandishi
Eti vifaa maalumu vya kukalia maarufu viti
 
Hahaha ,huyu msaga sumu i wish nimuone,mkuu nitume hta pic yako tuuu kwamba revolution ya miaka 100
 
View attachment 572587

Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.

Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.

Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.

Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.

Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
Hivyo vyombo(camera)mbona Kariakoo zipo ?hata ubora zimezidiwa na vifaa vinavyouzwa pale kwa marehemu Mh Deo Filikunjombe -Jumbo Camera.Watu kwa kupenda sifa hamjambo
 
Back
Top Bottom