Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hivi kwa kufikiria haraka haraka kipi kinakuwa na mvuto mkubwa katika mahusiano kati ya mwanamke na mwanamume hapo juu

Maana kila ukimuuliza binti yeyote kuhusu hatima yake katika kuolewa atagusia sana kipengele cha pesa I means economic system na Elimu

Japokuwa vijana wengi wa kiume hawako interested sana na sifa hizo ukiwauliza wengi kipengele watakachogusia ni tabia na mwonekano usiomithirika kiutandawazi.

Kama kuna uhusiano wowote kati ya mapenzi ya kweli na pesa au vipawa je kimtazamo unazani kundi lipi liko out of mind?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wa kisasa lazima uwe na elimu na pesa pia!!!

aiseeee wewe vipi ulimwengu huu ata kadigrii kamoja hv na vidorali kadhaa kw akaunti aiseee makes u luk handsome indid!!!
 
GET THIS FROM HORACE BROWN

One for the money ("one, one, one one")
Two for the show ("two, two, two two ")
Three to get the honeys ("three, three, three three")
Here we go ("hit, hit, hit me")

[Verse 1]
M-O-N-E-Y, it's all good with me
Cause finally I can afford the life of luxury
And I remember in the day mamma had to work so hard
Just to pay the rent, all the money spent, had to get another job
And now we're living in an eight room mansion on the hill
And we sipping on, sipping on champagne when we chill
And we riding the Lex, Coupe, Beamers and the Benz
All over the world from the East to the West coast making ends
See, we do it

[Chorus]

[Verse 2]
The show is what we live for cause we love to sing
We gonna freak you up and down, it's how we do our thing
And to the ladies in the house tonight
Looking fly, you got it right
It's gonna be an afterparty
And I've got to have somebody
And take 'em to my eight room mansion on the hill
We'll be sipping on Champagne when we chill
And we're riding in the Lex, Coupe, Beamer and the Benz
All the players from the East to the West Coast, we're making ends
This is why we do it
 
Kuna watu wanapendana bila pesa kuwa Na ushawishi ktk mahusiano yao!

Yaani wanaweza kuendelea kuwa Na mapenzi moto moto hata kama pesa imekata

Je hapa jf kuna wanawake ambao hawajawahi omba pesa kwa mwanaume?



DJ sepetu
 
Back
Top Bottom