Mwanaume malaya pia anakosa ujasiri wa kutongoza

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Habari ndugu zangu wote wa JF

Nimekuja na mkasa unaonihusu mwenyewe, Nina marafiki wawili wa kiume,nipo nao karibu kama ndugu zangu tu,Weekend iliyopita niliwakaribisha nyumbani tukae na kubadilishana mawazo,wale marafiki sikufahamu kama wanafahamiana kiukweli,

Kwa time tuko wote tulikuwa tunapiga stori bila wao kuonyesha chochote,Siku ilipoisha na kila mtu kurudi kwao,mmoja wapo akapigia simu,Akawa anauliza nilimfahamu vipi yule mwingine,Nikamuelezea.Lakini nikaja kugundua yule aliyenipigia simu Imemuuma sana,Kikubwa ni kwanini nina rafiki wa kiume kwani akidai hakuna urafiki wa KE&ME huku kasahau naye ni mwanaume na ni rafiki yangu akablame sana, Hapo nikagundua jamaa alikuwa anazimikia mzigo...

Swali ni kwamba, Wewe mwanaume,unakuta ni kipapa(malaya),unajua kutongoza wala sio zege, Nini kinakukuta mpaka sehemu nyngine unashindwa kutongoza? kwamba unamwogopa mtu au? mi najua mtu unayekuwa karibu naye ni rahisi sana kumuingia,kwanini huyu jamaa anakufa na hisia zake? HAPO NDO SIELEWI KABISA
 
Back
Top Bottom