Mwanaume kuwa na sauti nyembamba, kuota matiti, kuwa na mahips/wowowo yaliyotuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuwa na sauti nyembamba, kuota matiti, kuwa na mahips/wowowo yaliyotuna

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Mar 18, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Jamani ningependa kuuliza kuna wanaume wengine wanakuwa na ama vijititi vidogo na wengine makubwa kabisa... Nikaona nipate ufahamu, maana kuna mdogo wetu nae amekutwa nayo...

  Naomba mtupe data zaidi wa medical
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Inaitwa Gynecomastia, sio ugonjwa as such. Wakati mwengine inasababishwa na hormonal imbalance na wakati mwengine hutokea tu bila sababu maalum.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Eti kuna ukweli wowote kula kuku broilers husababisha matiti kwa wanaume?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Si kweli.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kang ni kweli
  na kinachofanya kuwa vile ni yale madawa ya kuzuia mimba ndio yanayofanya kuku wanakua wiki 3 badala ya 6....tahadhari
   
 6. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280
  MMHHHH,

  Mama na mwenzako mli kufuga kuku???? Hao kuku wanaopewa dawa kuzuia mimba ni kuku wa wapi???

  Jamani watanzania kuna wakati mwingine tunaweza kuchekwa tukiongea mambo tusiyoyajua. Nadhani tuendelee na swala la msingi nini sababu ya kuwa na matiti na sio swala la kula broiler.

  Wazee wa Kuchoma Ndizi
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kichakoro mkuu
  Nenda uliza wafugaji kabla ya kuelekezwa ukakataa,ma dear wafugajiasilimia 70
  wa kuku wa broiler wanapewa dawa za kuzuia mimba....sasa basi ndio maana watoto wengi hivi sasa waanaathirika.haukatazwi kula kuku endelea hali halisi ndio hiyo...am sorry mi niko mbezi mwisho na kuna watu 4 wanauza kuku...wala awafichi kwa hili bila hivyo awakui haraka....]\kila la kheri mjadala ufungwe kwa hili
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ok, lakini hiyo siyo main cause ya gynecomstia, majority ya watu wanaopata hii kitu wana level za kawaida za hormone. Kama ni mtoto inaweza ikapita yenyewe labda hormone hazijatulia bado.
   
 9. p

  p53 JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu uko sawa lakini gynecomastia siyo ya kuipuuza.Inaweza kuwa symptom ya underlying disease.
  Kama kuna gynecomastia na jamaa ni mlevi hivi basi acheki cirrhosis of the liver.Lakini hata kama si mlevi ni vizuri akacheki pia.Gynecomastia inaweza kuwa ni dalili ya testicular tumors mara nyingi ya Leydig cells na wakati mwingine hata sertoli cells.
  Ulieuliza usipuuze,Nenda hospitali ukapate msaada zaidi.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Mar 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ajaribu kufanya mazoezi ya kunyanyua vyuma vizito...hususan bench press, dumbbell flyes na mazoezi mengine yoyote yatakayosisha misuli yake ya kifuani (pectoral muscles)....
   
 11. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  naomba ushauri wako daktari,mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 22 tangu alipobalehe anasema matiti yake yalianza kukua mpaka sasa ni makubwa kuna dawa ya kuyafanya yawe madogo au afanyaje?
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  dah pole sana, kweli duniani tunapita njia...kuna jamaa nimemwona ni men lkn anahips hata dem haingii ndani...
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kaka hata mdogo wangu alikuwa na matatizo hayo walimpa da fulani nenda kwa dk mgaya pale namanga ukifika uliza kwa mgaya atakusaidia,lingine mwambie apunguze kula makuku ya kizungu;haya wanadai wana dawa wanawweka zikue haraka ndio matokeo yake tunalia;lingine alilokuwa akiteseka nalo ni haya maziwa ya unga;yaani akinywa tu kidogo kifua kinanepa....so ajitahidi sana kuachana na vyo akiwa nnjian kwenda kwa dk
  Mungu atamponya
   
 14. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Pdidy,

  Umejibu kwa busara sana nimependezewa,
   
 15. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hiyo hali kitaalamu inaitwa gynecomastia
  N;bcauses
  1.kwa watoto ambao bado wananyonya ni kutokana na estrogen homoni ambayo inapatikana kwenye maziwa ya wazazi wao

  2.kwa walio katika umri wa kubarehe usababishwa na mabadiliko ya homon wakati wa kubarehe

  3.Watu wazima usababishwa na magonjwa kama vile ugonjwa wa figo,ugonjwa sugu wa ini,kansa,matumizi ya baadhi ya dawa,na magonjwa yanayohusiana na vinasaba

  N:B
  Gynacomastia resulted from side effects of some drugs may affect males of both ages

  TIBA
  Most cases of gynacomastia will resolve itself especially in infant and teenagers.Older men may have an underlying medical condition that requires investigation and treatment.Surgery to remove excessive breast tissue may also be considered
   
 16. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  pape

  hayo ni mambo ya vinasaba
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wasiliana na mheshimiwa fredrick sumaye (wazziri mkuu mstaafu), ana dawa kiboko
   
 18. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Jamani naona siku za hivi karibuni wanaume wengi wamekuwa na maumbo ya kike.
  Sijui tatizo ni nini?
   
 19. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Michips na mibaga ya Bamaga na bonjou ndiyo inawatenda visivyo
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  matatizo ya homoni, yanatokana na kurithi, vyakula tunavyokula na mfumo wa maisha
   
Loading...