MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

Urafii Kati ya me na ke unawezekana kabisa mm Nina rafiki yangu wa kike tunasaidiana na kushirikishana Mambo mbaoimbali wala hatuko kimahusiano ana Mme wake nae anaelewa kwamba mke wake ni rafiki yangu wla hakuna kingine na Leo nitaenda nae harusini bila shida yeyote na atakuwa salama zaidi mara nyingi urafiki Kati ya me na ke huishia kugegedana lakini urafiki unaweza kuwepo bila ya kuwa wapenzi
 
Hakuna urafiki wa ke na me usiokuwa na madhara,kama hautakuwa na madhara kuna mmoja anaweza kuwa shoga
Binafsi nimeshindwa kweli, labda urafiki wa kwenye mtandao kwasababu sipendi mahusiano yanayoanzia kwenye social media otherwise weweeeeee mi sio mjinga bro (In Man Kush's voice). Rafiki zangu wa kike ni Dada zangu tu.
 
(Nakunong'oneza mrejesho) mkuu huu uzi nafutaje maana rafiki nshatafuna unavokaa hapa unanitia kiwingu kajiunga majuzi majuzi JF isije akaona afu sijapanga kuacha kutafuna kitu iko poa sana

Duh! Mkuu ulikuwa unafanya muwa kuwa fimbo ya kutembelea ... Jinsi ya kufuta uzi hata sijui mkuu labda uulize kwa Maxence Melo
 
Back
Top Bottom