Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

kwa sababu she hajui kusema sidanganyiki or NO
 
Hakuna sababu, si ni mahusiano tu au hukumaanisha uhusiano, be specific, mie nina mahusiano na wadada wote na wewe pia
 
Hakuna sababu, si ni mahusiano tu au hukumaanisha uhusiano, be specific, mie nina mahusiano na wadada wote na wewe pia! JUST KIDDING
 
mahusiano ya kimapenzi wajameni, im sure si wote, tufanye hao baadhi wenye tabia hizo.
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.
It's natural... you can't go against it!:A S-alert1:
 
mmmh kama ni kubadilisha ladha mtego, ukinogewa kumoja mbona na kwenyewe hawatuliii baada ya muda anakula bata na kitu kipya. Tehe tehe haaaataaariii kwlkwl
 
Sababu ni kwamba SHE'S wapo wengi kuliko HE'S inabidi iwe hivyo ili watoshelezane!!

jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.
 
Ni tatizo la kibaolojia zaidi. Kwa mfano dume moja la ng'ombe linatakiwa kuhudumia majike tofauti 20-25!

Ila inawezekana kutulia na mmoja tu ingawa ni maisha ya mateso na kujinyima sana. Naamini ni wachache sana wanaoweza kusimama mbele ya umma na kunyoosha mkono kwamba wameweza kumudu hiyo aina ya useja katika maisha yao yote!! I wish I could!
 
kati ya wote alionao ni kweli kwamba anawapenda wote kwa dhati. Au kati ya hao waweza kuta yule muasisi akapendwa zaidi? Na akawa hapat full package of love?
 
kati ya wote alionao ni kweli kwamba anawapenda wote kwa dhati. Au kati ya hao waweza kuta yule muasisi akapendwa zaidi? Na akawa hapat full package of love?

Haaaaaaaaaaaaaaa Lady G, kumbe uliongelea mambo ya wake wa kuoa? Mimi nilidhani unamaanisha na wale wa kuwowa!

Ila ujue kwamba kwa wanaume kitu kinaitwa love (kwa lugha zenu) ni rare commodity. Kwao huduma kwanza na mengine baadaye!
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Mchele mmoja mapishi mbali mbali kuna wali mweupe kuna wali mchafu n.k
 
Back
Top Bottom