Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni ulimbukeni

Mgegedo

Member
Jan 19, 2018
91
89
Naomba nieleweke kidogo, hapa sizungumzii wale amabo tayari wameshaingia kwenye ndoa hasa ndoa za kikristu ambazo mke mmoja tu ndie anaetambulika kitu ambacho ni tofauti na wenzetu waislam ambao dini yao inawaruhusu kumiliki hata wanawake wanne endapo tu utakua na uwezo wa kufanya hivyo.

Hapa nazungumzia kwa wale wanaume wenzangu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa wapo tu kwenye mahusiano na msichana mmoja pekee.Sisi wanaume yatupasa tutambue kwamba hawa viumbe wa kike wamejawa na tamaa za fedha na kumiliki mali hivyo anaweza akawa na wewe kwenye mahusiano lakini wana tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga na endapo atatokea mtu mwenye uwezo zaidi yako lazima atakuacha kwenye mataa tu na hilo halina ubishi.

Sasa ili usiumie pindi akikuacha kwenye mataa lazima uwe na backup yake au kwa lugha nyepesi ni kwamba lazima uwe nao hata wawili ili mmoja akiondoka basi maumivu yanakua sio makali sana kama unapokua na mmoja pekee halafu akaondoka na kukuacha peke yako mana hawa viumbe ni hatari sana kuliko unavyofikiria na haoni hatari kukuumiza.

Inawezekana wanawake wakanielewa vibaya sana kutokana na huu uzi wangu ila huu ushauri ni maalum kwaajiri ya wanaume wenzangu sababu kumekua na kesi nyingi sana hapa jukwaani za wanaume wakilalamika kuachwa na wenzi wao sababu tu ya pesa na anasa za dunia.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka, kuufanyia kazi ushauri wangu au kutoufanyia hilo linabaki kwako sasa ila utakapokuja kuachika usianze kulialia na kusema kwamba hatukukutahadhalisha mapema.

Asanteni.
 
Namim nakuambia ikiwa unawanawake A na B.

Alafu Moyo wako unampenda sanaaaaaaaaaaaa A na B unamtreat km option .. Itokee siku A akuacheee.

Amin nakuambia pamoja na B wako ,bado unaweza kutembea barabaran ukijiongelea kama fala nashat umekosea kufunga vifungo.

Acha kabisa mkuu,Mapenzi ya moyo yasikie,Unaweza kua namadem wanne ..lkn kuna demu mmoja tuu anavyokupa kimuemue ,anavyokusumbua nabado hutaki kumuacha ,nasiku akikuacha hata mzuka nawalobaki unaisha.

Nadhan izi mambo nikuomba tu kua namtu mnayeendana au Kutowekeza sana moyo kwao yaan uwaishi ukiamin lolote laweza kuja mbele..lkn kua madem wengi haiwezi toa unafuuu au kupunguza maumiv siku Mwanamke alokukamata Maini, moyo,akili,pumbu, miguu,kucha atakapokuacha.
 
Hyo n ww tu na hao unaokutanaga nao labda una bahati mbaya maana c kwel kwamba wanawake wote wanatamaa za pesa kuna uniqueness kwa hao viumbe unaowasema ww so inategemea na mtu
 
Naomba nieleweke kidogo, hapa sizungumzii wale amabo tayari wameshaingia kwenye ndoa hasa ndoa za kikristu ambazo mke mmoja tu ndie anaetambulika kitu ambacho ni tofauti na wenzetu waislam ambao dini yao inawaruhusu kumiliki hata wanawake wanne endapo tu utakua na uwezo wa kifanya hivyo.

Hapa nazungumzia kwa wale wanaume wenzangu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa wapo tu kwenye mahusiano na msichana mmoja pekee.Sisi wanaume yatupasa tutambue kwamba hawa viumbe wa kike wamejawa na tamaa za fedha na kumiliki mali hivyo anaweza akawa na wewe kwenye mahusiano lakini wana tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga na endapo atatokea mtu mwenye uwezo zaidi yako lazima atakuacha kwenye mataa tu na hilo halina ubishi.

Sasa ili usiumie pindi akikuacha kwenye mataa lazima uwe na backup yake au kwa lugha nyepesi ni kwamba lazima uwe nao hata wawili ili mmoja akiondoka basi maumivu yanakua sio makali sana kama unapokua na mmoja pekee halafu akaondoka na kukuacha peke yako mana hawa viumbe ni hatari sana kuliko unavyofikiria na haoni hatari kukuumiza.

Inawezekana wanawake wakanielewa vibaya sana kutokana na huu uzi wangu ila huu ushauri ni maalum kwaajiri ya wanaume wenzangu sababu kumekua na kesi nyingi sana hapa jukwaani za wanaume wakilalamika kuachwa na wenzi wao sababu tu ya pesa na anasa za dunia.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka, kuufanyia kazi ushauri wangu au kutoufanyia hilo linabaki kwako sasa ila utakapokuja kuachika usianze kulialia na kusema kwamba hatukukutahadhalisha mapema.

Asanteni.
Siyo ulimbuken tu ...ni kukosa uwezo wa kufikiri
 
Kuwa na wanawake wengi sometimes ni uoga unaji defend kuwa utapoachwa usiumie sana ila trust me hata ukiwa nao kumi akakuacha mmoja tu unayempenda kuliko wote utaumia sana na hao waliobaki utawachukia maana utaamini watakuacha kama yule
 
Wanaumme wenye mpenzi mmoja kwa kigezo cha uaminifu wana wivu kishenzi na amani hawana, wanaroho mbaya kinouma, ndo wanaongoza kwa kujiua, acheni niendelee kula watoto.
 
Hivi kama haujaoa unawezaje kujiita mwanamme? Sema unawazungumzia wavulana au watoto/vijana wa kiume. Acha kuchanganya watu tafadhali.
 
Mwanaume unajishushia hadhi tafuta pesa

Tafuta pesa. Tafuta pesa

Ukiipata wala huna shida akikuacha Leo kesho unaye mwingine

Usijiumize na kuingia kila SHIMO utaumia mashimo hayo hayakomolewi
 
Naomba nieleweke kidogo, hapa sizungumzii wale amabo tayari wameshaingia kwenye ndoa hasa ndoa za kikristu ambazo mke mmoja tu ndie anaetambulika kitu ambacho ni tofauti na wenzetu waislam ambao dini yao inawaruhusu kumiliki hata wanawake wanne endapo tu utakua na uwezo wa kifanya hivyo.

Hapa nazungumzia kwa wale wanaume wenzangu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa wapo tu kwenye mahusiano na msichana mmoja pekee.Sisi wanaume yatupasa tutambue kwamba hawa viumbe wa kike wamejawa na tamaa za fedha na kumiliki mali hivyo anaweza akawa na wewe kwenye mahusiano lakini wana tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga na endapo atatokea mtu mwenye uwezo zaidi yako lazima atakuacha kwenye mataa tu na hilo halina ubishi.

Sasa ili usiumie pindi akikuacha kwenye mataa lazima uwe na backup yake au kwa lugha nyepesi ni kwamba lazima uwe nao hata wawili ili mmoja akiondoka basi maumivu yanakua sio makali sana kama unapokua na mmoja pekee halafu akaondoka na kukuacha peke yako mana hawa viumbe ni hatari sana kuliko unavyofikiria na haoni hatari kukuumiza.

Inawezekana wanawake wakanielewa vibaya sana kutokana na huu uzi wangu ila huu ushauri ni maalum kwaajiri ya wanaume wenzangu sababu kumekua na kesi nyingi sana hapa jukwaani za wanaume wakilalamika kuachwa na wenzi wao sababu tu ya pesa na anasa za dunia.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka, kuufanyia kazi ushauri wangu au kutoufanyia hilo linabaki kwako sasa ila utakapokuja kuachika usianze kulialia na kusema kwamba hatukukutahadhalisha mapema.

Asanteni.
Unadai wanawake wameumbiwa tamaa ya pesa na mali,thn unashauri mtu awe na mpenzi zaidi ya mmoja sasa kama mmoja kakushinda kumdhibiti kwa pesa kiasi ulizonazo hao zaidi ya mmoja unawamiliki vipi?kuliko kutafta wengi kwann usielekeze nguvu zote kwa huyu mmj!!!?
 
Back
Top Bottom