Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 27, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280
  Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu.........uko miguuni mwake...ama ndio fasheni watanzania...
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Huyo shoga wala sio rijali.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280
  pretty mshipa ulinishuka shost nikasema kulikoni jamani???
   
 4. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wanaume wa Pemba hawavai herini wala vikuku wewe!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280

  haya bintimkongwe yetu macho
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  lazima huyo ni shoga
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  ulimtest i mean ulimpima oil??
   
 8. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Sweetbaby, Give me a brake!... nnaona sasa itabidi tukuite sweatbaby maana unachemsha kinoma.. hivi kuna hereni za mguuni? zinavaliwaje hizo? kikuku mi kwa upewa wangu mdogo najua ni shanga inayovaliwa kwenye mguu.. sanasana mguu wa kushoto.. Ulikuwa unamaanisha hivi au ni tofauti? Au huyo kijana alikuwa ametoboa vidole vya mguuni ili kuvisha hizo hereni?
   
 9. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mjibu kwanza swali lake kuvaa shanga au hereni miguni kwa mwanaume maana yake nini.
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Nadhani atakuwa kaka poa sio vinginevyo,
   
 11. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  hIVI WANAWAKE WANAOVAA HIVYO VIKUKU NI KAWAIDA AU INAMAANA NYINGINE? MSAADA TAFADHALI....
   
 12. G

  GEOMO Senior Member

  #12
  Nov 28, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mimi naamini huyo ni mtumwa wa fikra tu unawezakuta sio shoga wala bwabwa lakini akawa ameona hata kwenye runinga kijana kavaa basi nae akavaa. Si unajua vijana wetu wengi wanavyopenda kuiga hata vile wasivyoelewa maana?
   
 13. M

  Mwanaluguma Member

  #13
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wewe umeelewa isipokuwa unataka kurefusha tu mazungumzo. kwa kifupi mwanamume kuvaa heleni sikioni au kikuku mimi kwangu wote ni wachumba tu.(hii nayo ya wachumba utailetea ubishi?). Mambo ya kuiga iga utamaduni mchafu wa baadhi ya watu wa magharibi eti kwa kisingizio cha duni kuwa kijiji kimoja ni upumbavu. Toka enzi za mababu mwanume ana features ambazo zinamtofautisha na mwanamke ukiachilia mbali tofauti za kiorgan. Lakini sas hivi mpaka mtangazaji wa tv mwanaume unakuta kavaa helen
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Limbukeni tu hana lolote mambo ya kuiga tu hayo!
   
 15. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sweetbaby, wakati wewe unamshangaa huyo, mimi nimekutana na mwanaume, amevaa hereni ya kung'ing'inia kabisa, ya urembo. Bahati mbaya sikuweza kuona upande wa pili kama kavaa. Ila kwa mavazi alikuwa amevaa kama mwanaume wa kawaida kabisa.

  Dunia imekwisha dadangu. Uliona lile busu la Adam Liston kwenye American Music Awards?

  Ni kumuomba Mungu tu sasa
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280
  eeeehhhhh masiha shuka sasa bwana loh!!!!hii hatari bora dunia ifike mahali pake
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  chakla hicho mambo ya "kujiExpress urself"
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hilo ni PUNGA live
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kwa mwanamke kuvaa kikuku ni sehemu ya urembo tu, haina maana mbaya.
   
 20. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na hawa mtawaita mashoga?

  [​IMG]
  [​IMG]
   
Loading...