Mwanaume kutematema mate ovyo ni kwamba mke/mpenzi wake anakuwa mjamzito au ni huko tumboni kumevurugika?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.

Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.

Kutema mate ovyo ni kwamba tumboni kuchafu au nini jamani? Waswahili husema ukiona mtu anatema mate ovyo ujue mkewe ana mimba..Ni kama wanakuwa wanasaidiana.

Taabu sana kwa mwanaume kutema mate ovyo. Ni aibu mno.
 
Hapa unawaongelea Wanaume wa Dar au wa Mikoani Mkuu?
 
Kuna wanapenda sana kutematema mate ovyo hata mbele za kadamnasi.

Unakuta mtu anajikoholesha halafu anatengeneza mate mdomoni na kuyarusha 'paapu' kama nyoka aina ya cobra.

Kutema mate ovyo ni kwamba tumboni kuchafu au nini jamani? Waswahili husema ukiona mtu anatema mate ovyo ujue mkewe ana mimba..Ni kama wanakuwa wanasaidiana.

Taabu sana kwa mwanaume kutema mate ovyo. Ni aibu mno.

Hakuna cha mimba wala nini hapo!

Hao huwa ni wavuta sigara, wala ugolo na vitu kama hivyo, kwa uzoefu wangu
 
Back
Top Bottom