Mwanaume kutamani kuingiliwa kinyume na maumbile, tatizo nini?

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,219
Nimesoma taarifa fulani wanasema kwamba baadhi ya wanaume huwa wanakuwa na hamu ya kuingiliwa kinyume na maumbile, ukiachilia mbali tamaa ya fedha. Yaani mwanaume anakuwa na nyege kabisa ya kupandwa hadi sometimes anajichomeka vitu vyenye mfano wa uume kwenye njia ya haja kubwa. Kwa wale wenye ufahamu hali hiyo husababishwa na nini??
 
hata si shangai kuna jamaa yangu mmoja aliniambia nimfanyie mchezo huo,nilimpiga mingumi hadi leo hana hamu na mie na urafiki ulikwishia bar.
 
hata si shangai kuna jamaa yangu mmoja aliniambia nimfanyie mchezo huo,nilimpiga mingumi hadi leo hana hamu na mie na urafiki ulikwishia bar.

What? We ulikuwa unamjua vizuri huyu jamaa yako? Alianzaje kukuambia hivyo? Au labda alikuwa shoga bila wewe kujua?
 
Hali ya ushoga inasababishwa na

1-vyakula tunavyokula
2-shinikizo na promotion from developed countries
3-utandawazi
4-zama hizi no real love btn he & she......cash matters na mashoga wengi wanakuwa na true love na wivu wa kupindukia
 
Hali ya ushoga inasababishwa na

1-vyakula tunavyokula
2-shinikizo na promotion from developed countries
3-utandawazi
4-zama hizi no real love btn he & she......cash matters na mashoga wengi wanakuwa na true love na wivu wa kupindukia
 
Boflo uko serious mtu anaweza kula chakula fulani akahitaji kuingiliwa kinyume?
 
Nilishasikia Hii. Na inasababishwa na kuangalia Porno na pia tabia ya kujichua inayosababisha mwanaume atake kufikia ejaculation mapema na kusababisha aji stimulate kila eneo analodhani litaongeza pleasure na kujikuta anajichomeka vitu sehemu za haja kubwa.
 
Hii ingeenda mambo ya kikubwa tungechangia naweza kuunga mkono kwamba ni tamaa za mali na vyeo lakini kuna zaidi
tuwangojee wa Pwani na
 
Hali ya ushoga inasababishwa na

1-vyakula tunavyokula fafanua pliz hii sijawahi sikia
2-shinikizo na promotion from developed countries LOL
3-utandawazi NO
4-zama hizi no real love btn he & she......cash matters na mashoga wengi wanakuwa na true love na wivu wa kupindukia y u think SSC wana true love compared to OSC
replies in blue

pia wale wanaoingiliwa wakiwa wadogo na ndugu/watu wakubwa, though hii hai-explain hao ndugu walikuwaje hivyo kabla

 
1:Bological/hormanal: mtu anazaliwa na hormones(oestrogen) za kike nyingi kuliko za kiume so anakuwa na mambo mengi ya kike hence anakuwa 'passive'
2:peer pressure:Watoto wanaosoma hasa boarding schools huwa wanajaribujaribu na hatimaye wale wanaofanyiwa huwa passive kwa wenzao na wakishazoea hutaka waendelee kufanyiwa hako kamchezo forever.
3. Drug addicts: ili kupata pesa za madawa wapo tayari kufanyiwa chchte ili wapate pesa ya kununulia dawa-so wanajitoa kirahisi.
4.Favors:Kutaka pesa cheaply bila kuhangaika huishia kuolewa.
5. Wengine wanazaliwa na both organs(V P) na ya kiume inakuwa passive na ya kike not fully developed though ana female hormones nyingi.
6. Foods?: yes hyo inachangia kama nyama za kuku wanaopewa vyakula vinavoongeza female hormones.
 
Kwjnini wa Pwani?
Jukwaa hili siruhusiwi ww twende lile la Mambo ya K. nitakuelewesha kwa nini hivi vitu viko ki-Kanda Pwani na kurudi kinyumenyume, Kanda ya Ziwa na Kunyanzi (kanchabari/kater***) Kanda ya kaskazini ww jipakulie, Kanda ya Kusini ww nitume pesa sio Mkeo nk
Huku Boflo kaniambia tunatafuta BAN
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom