Mwanaume kupiga bomba ili hali yupo kwenye ndoa?

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,723
7,559
Lawama

"Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.Pia ingawa mume wangu yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini siku mungu atashusha baraka zake.

Kama isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka" ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.

Tatizo la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi sikuridhishi?

Pia anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi ninapotaka ku****t%%omb@@an###a, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia ndio aingize ila ni ngumu.

Tabia yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwa***8t44om^^b1a kama umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.

Basi tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance, basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe wapi!

Nimeshamueleza ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.

Tatizo la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3 bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini, yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.

Lingine ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what, why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo, ni mwanaume gani tena atanivumilia."

This is how I look like
227625_408027435944641_4203291_n.jpg
 
Huyo kaishakuwa chronic. Yaani hana fleva na wanawake..! Cha msingi tafuta wa pembeni awe anakuridhisha..! Kama vipi Ni PM kwa maelezo zaidi
 
Afadhali umeweka picha ebu tuwekee ya mumeo anajichua, huyo mumeo ameishakuwa addicted sasa la kufanya mpeleke kwa Dr(kama atakubali) apate tiba usikubali kuvunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe mshauri fanya ubunifu mwingine maana inawezekana humuridhishi
tata Molembe.
 
Last edited by a moderator:
hongera shosti umejaaliwa mashallah! mambo ya picha si mchezo! pole sana ila Mwenyezi Mungu ni mwema, kwanza jaribu kuwa karibu na mumeo kwa kumuelimisha kuwa bomba sio nzuri kwani km hamkutani mtapata vp watoto? na inawezekana yeye ndio ana tatizo linalosababisha kutopata watoto...sali sana ndg yangu ili mumeo awe sawa. pole sana mama.
 
Umemaliza tatizo la picha!!
Ila kama ndo ulivyo na mumeo anapiga nyeto,iko shida mahala.
otherwise ana pepo la kipekee akaombewe.

A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
 
Lovebird, mumeo ana tatizo la addiction katika masturbation. Sio kwamba hakupendi wala haumridhishi kwenye sex. Kwanza wewe mtoto wa Tanga. Nyie ndio mnapora maume za watu kule Zanzibar hadi wake zao wanaandamana. Sio kwa sababu ya limbwata ila kwa sababu mnaujua mchezo kwenye 6 x 6!
Sasa Lovebird mumeo anahitaji counselling lakini kwanza ajitambue kuwa ana tatizo la uraibu wa kupiga punyeto. Vinginevyo anapocheck picha za x inaposimama si angekuwa anakuja kwako fasta na kukuchania nguo ili awahi kujisevia? Kwa nini akimbilie kujichua wakati wewe upo? Ujue hilo ni tatizo.
Pia wewe kutozaa sioni kama ni tatizo la kukuzuia kusepa. Kama mwanaume hakuhitaji kimwili sasa hiyo ni ndoa? Utaendelea kuumia kisaikolojia hadi lini? Ulifata kwake chakula na vinywaji? Si hata kwenu vipo? Na je mtazaaje bila kusex? Si anavyopiga chenga anamiss chance yoyote ya kukupa mimba! Isitoshe wewe kuondoka kwake sio lazima imaanishe kuachana unaweza kumtia adabu kwa njia hiyo akafikiria kuacha huo mchezo wake mchafu. Maana wenzetu wanasema actions speak louder than words.
 
Mkuu pole sana kwa maswahibu hayo
vumilia ndiyo haki ilivyo.
Kama utaweza ni PM
 
Mi nafikiri ww ndio umefeli hapo kumbadilisha au la hakupi shavu humvutii ndio maana anakua anapiga bomba kama uanavyoelezea nipim nikupe maujanja kidogo
 
Lawama

"Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.Pia ingawa mume wangu yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini siku mungu atashusha baraka zake.

Kama isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka" ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.

Tatizo la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi sikuridhishi?

Pia anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi ninapotaka ku****t%%omb@@an###a, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia ndio aingize ila ni ngumu.

Tabia yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwa***8t44om^^b1a kama umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.

Basi tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance, basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe wapi!

Nimeshamueleza ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.

Tatizo la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3 bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini, yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.

Lingine ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what, why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo, ni mwanaume gani tena atanivumilia."

This is how I look like
View attachment 126224
kazi anayo mdafada
 
Kwaiyo ndo umeamua kuja kunidhalilisha humu sio. Kwa taarifa yako kupiga bomba siachi na wewe sikuachi........sijaanza leo nimekuwa addicted na hii kitu kitambo sana, muda mwingine naogopa hata kwenda bafuni kuoga mana kale kapovu ka sababu ya Ayu kakiteremka tu maeneo ya dushelele ni noma lazma nibombeke.....Kwaheri nakusuburi kwenye Kamat kuu CC nikusomee mashtaka yako, huu ni uhaini!!!!
 
Matatizo kama haya yapo katika ndoa na nimeshawasaidia wanandoa wengi sana mambo yakarudi sawa, mleta mada naomba unitumie PM tuongee vizuri huko.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom