Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
Kuna mambo mawili ambayo nimeya-experience ktk mahusiano. Mfano wanawake wanaweza wakakutana njiani, wakaanza kusalimiana kwa kubusiana ktk mashavu then ukasikia "Jamaniii mpenzi wangu, nimekumisss ile mbaya, twende ukapaone kwanguu". Wakaanza kuongozana huku wameshikana viuno wanaenda sambamba. Na hata wakifika nyumbani wanaweza wakaenda kuoga pamoja bafu 1.
Lakin ukija kwa wanaume wenzangu, hayo mambo ni MAGUMUUU MNOOOO hata kama mna urafiki wa miaka 20. Kwa wengine kushikana mikono tu wanaongozana ishu kweeeeli kweli . . . Yaani KUPEANA MABUSU YA SHAVU, KUSHIKANA VIUNO, KUITANA WAPENZI, KUOGA BAFU 1
Je ni sababu za kibaiolojia au?
Lakin cha kushangaza sasa, wanawake ni RAHISI MNOOOO kukosana na kuachana, tena kwa sababu ndogo ndogo tu, tofauti na wanaume ambao wao hata wakikosana, wanaweza kuwekana sawa na kurudi ktk mstari. Yaani utakuta pia mwanamke anaweza akawa na urafiki imara sana na mwanaume hata kama wamejuana wiki mbili tu zilizopita, kuliko shoga yake wa miaka nenda rudi . . .
Hapo ndio huwa NASHANGAA . . .