Mwanaume kumshika kiuno mwanaume mwenzie . . .

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0
Kuna mambo mawili ambayo nimeya-experience ktk mahusiano. Mfano wanawake wanaweza wakakutana njiani, wakaanza kusalimiana kwa kubusiana ktk mashavu then ukasikia "Jamaniii mpenzi wangu, nimekumisss ile mbaya, twende ukapaone kwanguu". Wakaanza kuongozana huku wameshikana viuno wanaenda sambamba. Na hata wakifika nyumbani wanaweza wakaenda kuoga pamoja bafu 1.

Lakin ukija kwa wanaume wenzangu, hayo mambo ni MAGUMUUU MNOOOO hata kama mna urafiki wa miaka 20. Kwa wengine kushikana mikono tu wanaongozana ishu kweeeeli kweli . . . Yaani KUPEANA MABUSU YA SHAVU, KUSHIKANA VIUNO, KUITANA WAPENZI, KUOGA BAFU 1
Je ni sababu za kibaiolojia au?

Lakin cha kushangaza sasa, wanawake ni RAHISI MNOOOO kukosana na kuachana, tena kwa sababu ndogo ndogo tu, tofauti na wanaume ambao wao hata wakikosana, wanaweza kuwekana sawa na kurudi ktk mstari. Yaani utakuta pia mwanamke anaweza akawa na urafiki imara sana na mwanaume hata kama wamejuana wiki mbili tu zilizopita, kuliko shoga yake wa miaka nenda rudi . . .
Hapo ndio huwa NASHANGAA . . .
 

semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
aisee ni kweli, mwanaume kushikana na mwanaume mwenzake,daah!sijaiona.nadhani it has to do with biological make up.
 

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,075
2,000
Jaba-li said:
Mbona mabinti wanashikana?
Kwa wanaume inasababishwa na sababu za kibaiolojia,saikolojia,kigenetiksi na hata mazoea. Pia biologically wanaume ni tofauti na wanawake. So hata tabia na mienendo yao ni wazi itakua tofauti.
 

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225
dume kuguswa makalio tu lazima liruke.... iwe kuminywa kiuno...acha kabisa...!!
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,247
2,000
Tulikuwa tukishikana hivyo wakati tupo watoto 7yrs sasa mibaba ujue kuna limoja poyoyo!!
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
10,464
2,000
hata kuongozana huku nimeshikana mkono na dume mwenzangu hainipi kabisa, achilia mbali kushikana viuno. Halafu unataka Kuoga bafu moja na njemba mwenzio ili iweje?..
 

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,056
2,000
Hapa si kibaologia au maumbile haya ni mazoea tu kama jamii haikuzoea haya mambo kamwe ni kazi kuamini mwanaume anambusu mwanaume mwenzie lakini ukweli ni kwamba nimeona wanaume wengi tu wana Busiana na hakuna cha kushangaa angalia sana Nchi za kiarabu. Kama Rais wa Iran anapokutana na Rais wa Sirya, au Waaluminia wanaoishi Aluminia hakika kwao ni jambo la kawaida kabisa kwa wanaume kwa wanaume.Ila si rahisi kwa mwanaume kumbusu mwanamke ovyo!

Ila kwetu Bongo hata mimi unishike kiuno unataka balaa maana unaweza ukawa basha wewe!
 

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0
Hapa si kibaologia au maumbile haya ni mazoea tu kama jamii haikuzoea haya mambo kamwe ni kazi kuamini mwanaume anambusu mwanaume mwenzie lakini ukweli ni kwamba nimeona wanaume wengi tu wana Busiana na hakuna cha kushangaa angalia sana Nchi za kiarabu. Kama Rais wa Iran anapokutana na Rais wa Sirya, au Waaluminia wanaoishi Aluminia hakika kwao ni jambo la kawaida kabisa kwa wanaume kwa wanaume.Ila si rahisi kwa mwanaume kumbusu mwanamke ovyo!

Ila kwetu Bongo hata mimi unishike kiuno unataka balaa maana unaweza ukawa basha wewe!

Ahahahahahahahah Jaribu kuzoea basi taratibu kushikwa kiuno. Anyway mwanamke utamruhusu akushike kiuno???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom