Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

Kwa ufupi, mke wangu ameefanikiwa kujifungua mtoto miezi miwili imepita sasa.

Kama ilivyo kawaida wamemtembelea marafiki zake wakiwepo majirani na kumpa zawadi mbalimbali kama pongezi kwa kuleta kichanga duniani.

Kuna jambo limenishangaza kidogo, ndio maana imebidi nije mnipe japo ushauri wadau.

Baada ya kujifungua kuna mwanaume alifika nyumbani na zawadi nyingi akampa mke wangu kama pongezi. Mwanzoni nilijiuliza inakuwaje mwanaume aje peke yake kumpongeza mke wangu kwa kujifungua? Nilijikausha nkachukulia kawaida.

Juzi kati hapa nilifika nyumbani mda ambao si kawaida yangu kurudi (mchana) na sikumjulisha mke wangu kama narudi. Nilishangaa kidogo kumkuta tena yule mwanaume kaleta tena zawadi. Alishtuka sana kuniona kila sikumsemesha, nilipita moja kwa moja chumbani nikatulia kidogo nikitafakari.

Baada ya muda mchache mke wangu aliingia chumbani na kuniambia mgeni ameaga, anaondoka, nikamwitikia ila ckurudi hata kumuona.

Hii hali iliniumiza sana na kunipa maswali mengi ukizingatia kuna vitu mke wangu aliomba ninunue kwa ajili ya mtoto, Yule jamaa akaja navyo.

Wadau nishaurini, hivi inawezekana mwanaume u/a/ mtembelee mke wako nyumbani (akiwa peke yake) zaidi ya Mara moja kumpongeza mke kwa kujifungua.

Kuja mda ambao Mimi sipo na bila taarifa, then kuaga ghafla baada ya Mimi kurudi kunamaanisha Nini?

Nsaidieni jamani
Pole sana mkuu unalea mtoto wa mtu very sad
 
Ila ni ajabu sana
Zamani niliambiwa wanawake huwa wanatumia hisia zaidi
Ila siku hizi wanaume ndiyo wanaotumia hisia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
In conclusion ni kwamba mgeni huyu ni baba wa mtoto. Haina hisia, just decisive implication. Hii case mi ningemaliza mapema kabisa. Unafanya uchunguzi kimya kimya bila kudisturb evidences ulizokwisha kukusanya. Ukikuta ndio baba kwa amani kabisa unamkabidhi mkewe na mwanae
 
Mnaendaga kutanuliwa njia?!
Eee maana mtu akiwa mjamzito anakua na nyege hatari utakuta jamaa alikua hamgusi mkewe...pia lile tendo linaongeza njia ya uzazi ndomana tunashauriwa kugegedana mpk cku ya kwenda kujifungua....

am better here
 
Mbona kama umesha conclude kuwa umebambikwa mtoto?relax muulize vizuri mke wako huyo jamaa ni nani na kwanini unaleta vitu ambavyo wewe alikuambia umletee

Pili umefanya kosa kubwa sana kutokukaa na jamaa umemkuta kwako ukapitiliza moja kwa moja ndani, na kuzira badala ya kukaa chini mfahiane vizuri...huo nauita ni utoto na ukifanya masihara mke wako atakuendesha sana
We jamaa una akili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakufanya punguza presha, tafuta daktari umweleze unataka kupima DNA na mwanao kimya kimya, tafuta siku tengeneza mazingira kwa mtakavyopanga na daktari wako, fanya michakato kama ni kwenda na mtoto au sampuli yoyote ukapate majibu ndio utajua kipi cha kufanya.
Ukiambiwa mwana ni wako basi mpige jamaa marufuku na asitishe kabla hajasitishwa yeye mahusiano na mkeo.
Ukiambiwa mwana sii wako na pigo ulilopata huwezi tena kuishi basi chinja huyo mtoto shingo itengane na kiwiliwili ili iwaume waliokuumiza au huwezi mtundike sindano ya sumu utosini wewe uelekee maweni Tanga. (NB: ushauri wa shetani)
Ukiweza kuhimili endapo utaambiwa mtoto sii wako fukuza waende wakalee mtoto wao wewe ulikuwa spea tairi ukubali yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise huyo mwanaume ana roho ngumu yaani unamtembelea mke wa mtu na mizawadi bila woga khaa na huyo mkeo mmhh

Hebu zungumza na mkeo kwanza kujua huyo mbaba analeta zawadi mara 2 kama nani. Japo utadanganywa. Walimwengu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanaume ni mpuuzi tu huwezi kufanya kitu kama hiki kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio, ukiuliwa??....

Mi nahisi wife ndo anamiliki kila kitu jamaa bila bila!

Hakuna mwanaume rijali unaweza mfanyia huu upuuzi, hakuna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi, mke wangu ameefanikiwa kujifungua mtoto miezi miwili imepita sasa.

Kama ilivyo kawaida wamemtembelea marafiki zake wakiwepo majirani na kumpa zawadi mbalimbali kama pongezi kwa kuleta kichanga duniani.

Kuna jambo limenishangaza kidogo, ndio maana imebidi nije mnipe japo ushauri wadau.

Baada ya kujifungua kuna mwanaume alifika nyumbani na zawadi nyingi akampa mke wangu kama pongezi. Mwanzoni nilijiuliza inakuwaje mwanaume aje peke yake kumpongeza mke wangu kwa kujifungua? Nilijikausha nkachukulia kawaida.

Juzi kati hapa nilifika nyumbani mda ambao si kawaida yangu kurudi (mchana) na sikumjulisha mke wangu kama narudi. Nilishangaa kidogo kumkuta tena yule mwanaume kaleta tena zawadi. Alishtuka sana kuniona kila sikumsemesha, nilipita moja kwa moja chumbani nikatulia kidogo nikitafakari.

Baada ya muda mchache mke wangu aliingia chumbani na kuniambia mgeni ameaga, anaondoka, nikamwitikia ila ckurudi hata kumuona.

Hii hali iliniumiza sana na kunipa maswali mengi ukizingatia kuna vitu mke wangu aliomba ninunue kwa ajili ya mtoto, Yule jamaa akaja navyo.

Wadau nishaurini, hivi inawezekana mwanaume u/a/ mtembelee mke wako nyumbani (akiwa peke yake) zaidi ya Mara moja kumpongeza mke kwa kujifungua.

Kuja mda ambao Mimi sipo na bila taarifa, then kuaga ghafla baada ya Mimi kurudi kunamaanisha Nini?

Nsaidieni jamani
Mtoto siyo wako huyo. Tafuta wataalam (nduguzo) wamchunguze. Ukiangalia wewe utajipendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndo mambo ya wazee wa busara yalipotulia " kitanda hakizai haramu" siku hizi hata DNA majibu tunadanganywa tuu maana wanaogopa kuzalisha watoto wa mitaani ukishajua sio mtoto wako. We tulia lea mwanao huyoo.
Ewaaaa...DNA wanapindisha ukweli

Usitarajie kupewa ukweli kule ng'oo!

Kakaangu kachukua maamuzi magumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom