Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

mkuu hawa viumbe wana mbinu nyng sana unaweza kuta ana lain zaid ya moja na nyingne huzijui wanachofanya hubadili lain tu na hnyngne huzificha huko hata jikon katika masufuria yasio tumika akitaka kutumia huifuata na kutmia ukiwah kurudi anablok lain moja kimya ana acha simu mezani

na pia mwanamke achunguzwi anaweza kukuachia simu yake ukae nao hata mwaka usione tatizo.

mchezo mwingne wanatumia simu za mashoga zao wale walioivaana kwahyo kumkamata mwanamke labda awe kaamua na kakuchoka tu anataka sepa
sasa wa hivi anakua amedhamiria kabisa duu
 
Kitu chakwanza ikubari hari
kitu cha pili usijipe matokeo kua mtoto sio wako
pia usimumeke mkeo katika mazngira yakua kashakosea
mkuu UKWELI NA UWONGO NI MFANO MAJI NA MAFUTA YAKACHANGAMANA .LAZMA KIMOJA KIJIENGUE
hvyo basi kaa chini fikiri nje ya box kam n kwel mtot co wako mkeo ataonekana tu.

Voxser empire
 
Muulize mkeo
1. Huyu mtu ni nani kwako?
2. Kwanini alileta zawadi ya kwanza?
Karudia mara ya pili akiwa pekee! Kama ana mke angekuja naye ingekuwa poa zaidi.

3. Kwanini vitu ulivyonambia ninunue ndivyo jamaa kaja navyo?

Jibu atakalokupa, ukubaliane naye tu. Ila weka mitego yako. Hack simu yake, ukweli utaujua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said, na km angekuwa rafiki wa siku nyingi au mfanyakazi mwenzake angekuwa ashazoeleka home na Mr wake asingekuwa na hofu.
Kiufupi huyo ndio mwenye mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ujinga mimi nimeachana na wife mwezi huu, kuna jamaa nimemkuta home ile nafika tuu akaniambia nimuazime ufunguo wa gari eti gari lake limejilock! nikampa then nikamuuliza wife hivi magari yanashare funguo? akasema kweli jamaa gari yake imejilock ipo hapo mbele kwenda hilo eneo hamna gari nikamwambia usiniletee ujinga LEAVE!
Asee kama hizi GX 100 zinaingiliana kinoma ... Kuna Sikh niliondoka na gari ya MTU kwenye harusi .... Noma sana .....
 
Kitanda hiki hakina shida yoyote na ni cha sita kwa sita godoro nchi 10
Chaga yake ni imara sana
Ni kitanda cha chuma
Bei ya kitanda peke yake ni 290,000
Ukichukua vyote 395,000
Location Dar ea salam
Njoo PM
20190319_202253.jpeg

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Kwa ufupi, mke wangu ameefanikiwa kujifungua mtoto miezi miwili imepita sasa.

Kama ilivyo kawaida wamemtembelea marafiki zake wakiwepo majirani na kumpa zawadi mbalimbali kama pongezi kwa kuleta kichanga duniani.

Kuna jambo limenishangaza kidogo, ndio maana imebidi nije mnipe japo ushauri wadau.

Baada ya kujifungua kuna mwanaume alifika nyumbani na zawadi nyingi akampa mke wangu kama pongezi. Mwanzoni nilijiuliza inakuwaje mwanaume aje peke yake kumpongeza mke wangu kwa kujifungua? Nilijikausha nkachukulia kawaida.

Juzi kati hapa nilifika nyumbani mda ambao si kawaida yangu kurudi (mchana) na sikumjulisha mke wangu kama narudi. Nilishangaa kidogo kumkuta tena yule mwanaume kaleta tena zawadi. Alishtuka sana kuniona kila sikumsemesha, nilipita moja kwa moja chumbani nikatulia kidogo nikitafakari.

Baada ya muda mchache mke wangu aliingia chumbani na kuniambia mgeni ameaga, anaondoka, nikamwitikia ila ckurudi hata kumuona.

Hii hali iliniumiza sana na kunipa maswali mengi ukizingatia kuna vitu mke wangu aliomba ninunue kwa ajili ya mtoto, Yule jamaa akaja navyo.

Wadau nishaurini, hivi inawezekana mwanaume u/a/ mtembelee mke wako nyumbani (akiwa peke yake) zaidi ya Mara moja kumpongeza mke kwa kujifungua.

Kuja mda ambao Mimi sipo na bila taarifa, then kuaga ghafla baada ya Mimi kurudi kunamaanisha Nini?

Nsaidieni jamani
Nami kama mdau nitoe maoni yangu kiukwel hcho kitendo kinaumiza sana na kuleta maswal mengi inaezekana kuna kitu hapo japo hatuwez kusemea kitu kisichokuwa na Burkina
Ushauri.jtahid usioneshe kustushwa na hilo jambo ikiwezekana kama mkeo ameanza kujistukia we mfanye asahau mchezo
2.wakat ukishamaliza kufanya jambo la kwanza endelea na uchunguzi wa hali ya juu ikiwezekana hack system ya mawasiliano jtahd kufanya kaz kwa welled
3.jtahd kuyashinda mawazo yoyote mabaya jione we n mwanaume na unaeza kusimama suala la DNA n muhmu lakn lisiwe la haraka maana bila DNA unaeza jua kilichopo nyuma ya pazia
Mwisho jaribu kutulia katika mambo yako yote unayowaza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Mwanaume afunge safari mara Mbili kwenda kumpongeza mwanamke kwa Kujifungua???? Babaa hakuna fala wa hivyo dunianiii... Jua ana chakee hapooo...either wife au mtotoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakufanya punguza presha, tafuta daktari umweleze unataka kupima DNA na mwanao kimya kimya, tafuta siku tengeneza mazingira kwa mtakavyopanga na daktari wako, fanya michakato kama ni kwenda na mtoto au sampuli yoyote ukapate majibu ndio utajua kipi cha kufanya.
Ukiambiwa mwana ni wako basi mpige jamaa marufuku na asitishe kabla hajasitishwa yeye mahusiano na mkeo.
Ukiambiwa mwana sii wako na pigo ulilopata huwezi tena kuishi basi chinja huyo mtoto shingo itengane na kiwiliwili ili iwaume waliokuumiza au huwezi mtundike sindano ya sumu utosini wewe uelekee maweni Tanga. (NB: ushauri wa shetani)
Ukiweza kuhimili endapo utaambiwa mtoto sii wako fukuza waende wakalee mtoto wao wewe ulikuwa spea tairi ukubali yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Akimchinja mtoto itamsaidia nini?
Hatma Ya maisha yake itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi, mke wangu ameefanikiwa kujifungua mtoto miezi miwili imepita sasa.

Kama ilivyo kawaida wamemtembelea marafiki zake wakiwepo majirani na kumpa zawadi mbalimbali kama pongezi kwa kuleta kichanga duniani.

Kuna jambo limenishangaza kidogo, ndio maana imebidi nije mnipe japo ushauri wadau.

Baada ya kujifungua kuna mwanaume alifika nyumbani na zawadi nyingi akampa mke wangu kama pongezi. Mwanzoni nilijiuliza inakuwaje mwanaume aje peke yake kumpongeza mke wangu kwa kujifungua? Nilijikausha nkachukulia kawaida.

Juzi kati hapa nilifika nyumbani mda ambao si kawaida yangu kurudi (mchana) na sikumjulisha mke wangu kama narudi. Nilishangaa kidogo kumkuta tena yule mwanaume kaleta tena zawadi. Alishtuka sana kuniona kila sikumsemesha, nilipita moja kwa moja chumbani nikatulia kidogo nikitafakari.

Baada ya muda mchache mke wangu aliingia chumbani na kuniambia mgeni ameaga, anaondoka, nikamwitikia ila ckurudi hata kumuona.

Hii hali iliniumiza sana na kunipa maswali mengi ukizingatia kuna vitu mke wangu aliomba ninunue kwa ajili ya mtoto, Yule jamaa akaja navyo.

Wadau nishaurini, hivi inawezekana mwanaume u/a/ mtembelee mke wako nyumbani (akiwa peke yake) zaidi ya Mara moja kumpongeza mke kwa kujifungua.

Kuja mda ambao Mimi sipo na bila taarifa, then kuaga ghafla baada ya Mimi kurudi kunamaanisha Nini?

Nsaidieni jamani
@Boeing kwa uelewa wa haraka haraka ni kwamba, mkeo kakutawala, au tangu zaman ulikuwa hutimizi mahtaji muhimu nyumban na mkeo akileta chochote Nyumban ulikuwa huulizi kimetoka wapi??!
Ndio maana mkeo haoni aibu wala hofu yoyote....

Iko siku Utakuja kumkuta akimzibua maskio mtoto na kumfunua macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woiiiii!

Huyu jamaa anatuzingua, nimeona moja ya nyuzi zake!

Kwanza hajaoa huyu jamaa, na huyo mwanamke anaishi sijui kwake!

Kwahiyo sio mke na mume!

Nami nilitaka nishangae mke wa ndoa afanye hivi??..nyumba yako, mahari umetoa?...demu hizo guts anazipata wapi???

Hisia zangu kumbe za kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Witness, Hivi ni kweli huyo mleta mada hakuwa ameoa ?, kwa hiyo inawezekana labda mwanamke ni rafiki yake tu na huenda kila mmoja anishi kivyake halafu anakuja hapa anatuambia nilitaka kushangaa mambo anayotueleza kwa kweli yalikuwa hayaeleweki
 
Back
Top Bottom