Mwanaume kulia kisa mapenzi ni udhaifu uliopitiliza

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,473
188,610
Habari!

Kuna mambo ya ajabu yanazidi kutokea na jamii inaendelea kupigia makofi na shangwe kwa huu upuuzi.

Hakuna kitu kina shangaza hivi sasa kwa mwanaume kulilia mapenzi hadharani kabisa. Kama si kwenye mtandao ya kijamii basi hata kwenye vyombo vya habari bila aibu.

Mwanaume na akili timamu kabisa unalia kisa mapenzi? Inaleta ukakasi sana kwa kizazi cha sasa kifua mbele kabisa anatumia muda wake kulilia mapenzi na kutafuta sympathy kwa watu wanaomzunguka.

Hebu jiulize maswali machache kwanza: - Wewe ndio umetongozwa hadi siku mahusiano yanapofika mwisho unaumia na kulia kwenye mitandao yote?

Kama wewe ndio ulimtongoza kwanini ulie kisa mahusiano yamevunjika?

Mara nyingi wewe ndio ulianza kufanya kila harakati hadi ukampata sasa hivyo hivyo kwanini uumie wakati unaweza kufanya kama ikivyokuwa mwanzo sehemu nyingine.

Jitafakari kama unalia kisa mapenzi kwenye mtandao ya kijamii na sehemu yeyote chukua hatua haraka kuacha huo upumbafu wa kiwango cha lami.

Mwanaume hana haja ya kulia lia kisa mapenzi acha uoga na uzembe kupita kiasi.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.
 
Wanalilia nyapu:mad::mad:
 
Kama na wewe unataka kuwa zwazwa kama yule jamaa.

Tutakuja kukuokoa ila uache uboya wa kizembe kisa mapenzi uwe mpumbafu.
Atamjulia wapi huyu Bata!.. huyu usikute hajawahi pewa Ile style ya dunia duara au ile maisha ni fumbo! Hii maisha ni fumbo damu inaweza hata simama kwa sekunde ikisikilizia utamu kunoga..
 
Back
Top Bottom