mwanaume kulala kwa mwanamke

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
 
Kwa vile jamaa umempendea dudu endelea kumkabidhi uhuru wa chumba chako nakuchafua mashuka.
 
mi nadhani kila mtu alale kwake.......
Aaah Preta, wengine tunampeleka demu Furniture centre na kukamilisha Appartment sasa kuna ubaya gani siku nikilala kwako kwa sababu nimetowa millioni 3 kusave gharama za kwenda Hotel?

Huyo mdada kakutana na tu na mtoto wa mjini ndio anaanza maisha na pesa huo ndio ukweli, Mwanaume kamili ni lazima umsapoti mWanamke kama kweli unampenda.

Nilikuwepo naelekea mazoezini kwanza.
 
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.

Jamani ogopeni sana kuvunja amri ya sita ya Musa! Haijalishi kama inavunjiwa kwa msichana au kwa mvulana.
 
Kwa vile jamaa umempendea dudu endelea kumkabidhi uhuru wa chumba chako nakuchafua mashuka.

sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????
 
Dudu haikupi starehe? Starehe mwapata wote usituongope. Kushare kodi ni ishu ingine haihusisani na kutaka/kutoa dudu!
 
sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????

Mwambie kuanzia sasa uasherati mnahamishia guest house
 
sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????

Jamani! Si kulala tu kwani kuna ubaya gani? Hata mimi nikija pale ubungo temino nikakuomba pa kulala si utanisaidia tuuu jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom