Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,024
Umefika na nimereplySijui ujumbe umefika sababu wengine ni wageni kwenye kutumia hayo maPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefika na nimereplySijui ujumbe umefika sababu wengine ni wageni kwenye kutumia hayo maPM
Ni dalili za uke na wengi wao mwisho wa siku ni Mashogamwanaume akifuga Nywele na Kucha we Inakuuma nini...???
Unataka kila mtu awe vile unataka mkuu ...
Affro sawa lakini mpaka kusokota dread ni dalili za ushogaSuala la kucha naunga mkono lakini nywele sikuungi. Inategemea na jinsi mtu anavyozitunza nywele zake, wapo wanaoacha afro na linawatoa kichizi kutokana na utunzwaji wake
Sijawahi kuwaelewa wanaume wafuga nywele kwakweli.
Hahahhaha naona imekuingiaNi dalili za uke na wengi wao mwisho wa siku ni Mashoga
Mbona imekuuma sana,Yaani siku hizi watu wanaanza kuwapangia watu cha kufanya sio kila ukichukiacho na wengine wakichukie
Ndo nataka nianze jarida la uchunguziSijawahi kuwaelewa wanaume wafuga nywele kwakweli.
Unataka uwaelewe vepe ..utamuleweje mwanaume mwenzio utamtaka AMA nn mkuu acha hizo chiefu we wacha watu waishi wanavyoona mradi hawavunji amri na sheria iwe ya dini AMA za kiserikaliSijawahi kuwaelewa wanaume wafuga nywele kwakweli.
Haya.Unataka uwaelewe vepe ..utamuleweje mwanaume mwenzio utamtaka AMA nn mkuu acha hizo chiefu we wacha watu waishi wanavyoona mradi hawavunji amri na sheria iwe ya dini AMA za kiserikali
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mie eti naambiwa nina sururu!Mkuu wengine tukinyoa para vichwa vyetu tunavijua wenyewe