Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Suala la kucha naunga mkono lakini nywele sikuungi. Inategemea na jinsi mtu anavyozitunza nywele zake, wapo wanaoacha afro na linawatoa kichizi kutokana na utunzwaji wake
Affro sawa lakini mpaka kusokota dread ni dalili za ushoga
Lazima anakuwa na vimelea vya uke
 
Hapa napata shaka na upeo wako mkuu,

Ina maana hujui kuwa kila mtu ana haiba yake? Na hujui kuwa kila mtu ana mapenzi yake juu ya kitu fulani? Basi usilazimishe kile upendacho wewe kila mtu akipende!

Binafsi nimeanza kupenda nywele since prymary na nilivumilia makwenzi na bakora kisa tu kunyoa nywele! Nikiwa seko ndo nlkua najificha chooni siku za ukaguzi kisa tunywele turefu! Tangu hapo hadi sasa napenda nywele ndefu na hueeka afro ya kistaarabu kabisa japo mambo yamekua tight kwa kipindi hiki hivyo sinyoi afro sijajua muda unaopotea ni upi maana unasafisha nywele kwa shampoo ukienda kuoga chaap,unapaka wese unazichana vyema sasa muda gani unaopotea hapo??

WAFUGA KUCHA SIWAUNGI MKONO ACHENI HIZO!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom