Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,164
- 1,520
Bila shaka utakuwa umeanzisha mradi wa kumiliki maduka ya kutoa huduma kunyoa nywele na kukukata kucha, hivyo umeona uanze na kubadili mtazamo wa wapenda kufuga nywele na kucha, ili wawe wateja katika maduka hao. Huo ni mpango mkakati wa kuongeza mapato kibiashara. Usisahau, na ndevu,kuzipigia kalamu!