Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Nimeamua kuleta thread hii mbele yenu kwa faida za wanajamii wa humu ndani na wengine wa nje.


KWAMBA
mwanaume kupoteza muda mwingi wa kufuga kucha na minywele kibao ambayo hayana faida yoyote wala kipato chochote ni ukosefu wa kazi tuu.

Nimeleta uzi huu kwa nia ya makusudi kabisa ili utoe fundisho kwa wanajukwaa wa aina hii.


Si minywele tuu wala kucha bado vipo vingi unaweza kuongezea vinavyokukera kama wewe mwanajukwaa ambavyo vitasaidia wengi humu wawe kama wanaume kamili


Mwanaume kulala uchi wa mnyama ni upumbavu uliotukuka - JamiiForums

Off
Kufuga kucha ni uchafu kwa kila mtu,na kufanya hivyo ni kinyume na maumbile.
 
Mkuu unapaswa unashikashika vitu /ungekuwa mikoani ningekuxhauri ulime hta mara moja moja. ..mikono milaini kma wa (ke) wewe hpo ukivamiwa ukaanza kudefence utaweza kweli. ........mkono wa dar ni hovyo
Mkuu kwamba ni mimi?
 
Mkuu kwenye nywele haiwezekani nasisikitiza tena haiwezekani
IMG_20181010_194938_190.jpg
 
Back
Top Bottom