Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Mpauko

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
1,759
Points
2,000

Mpauko

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2019
1,759 2,000
Hapa napata shaka na upeo wako mkuu,

Ina maana hujui kuwa kila mtu ana haiba yake? Na hujui kuwa kila mtu ana mapenzi yake juu ya kitu fulani? Basi usilazimishe kile upendacho wewe kila mtu akipende!

Binafsi nimeanza kupenda nywele since prymary na nilivumilia makwenzi na bakora kisa tu kunyoa nywele! Nikiwa seko ndo nlkua najificha chooni siku za ukaguzi kisa tunywele turefu! Tangu hapo hadi sasa napenda nywele ndefu na hueeka afro ya kistaarabu kabisa japo mambo yamekua tight kwa kipindi hiki hivyo sinyoi afro sijajua muda unaopotea ni upi maana unasafisha nywele kwa shampoo ukienda kuoga chaap,unapaka wese unazichana vyema sasa muda gani unaopotea hapo??

WAFUGA KUCHA SIWAUNGI MKONO ACHENI HIZO!
 

Forum statistics

Threads 1,364,354
Members 520,723
Posts 33,313,357
Top