Mwanaume: KIUMBE DHAIFU LAKINI CHA AJABU HAPA DUNIANI (soma mwenyeweeeee)

story inamshushia hadhi huyo mwanamke... Role yake imekua sana na gogo tu.

Miaka kymi na ushee yy ni wa honey nataja hichi nk.
 
Dah!wanaume bwana!kumbe mkioa na majina matamu na matunzo ndio vinaisha? ngoja nickilizie kwanza kabla yakuingia humo!

Anawadanganyeni huyo, sie hatuko hivyo bali tunasababishiwa tu na maujanja ya nyumba ndogo pale nyumba kubwa inapopoteza mwelekeo..............LOL
 
Udhaifu unaousema hapa ni upi hasa. Mimi naona umeongelea uwezo wa mwanaume kubadilika kufuatana na mazingira ambayo si udhaifu bali uimara.
 
Dah!wanaume bwana!kumbe mkioa na majina matamu na matunzo ndio vinaisha? ngoja nickilizie kwanza kabla yakuingia humo!

Wala usihofu. Mara nyingi hizi threads za ndoa huwa zinaongelea extremes. Ni sawa tu na mtu anavyoweza kuongelea usafiri wa magari kwa kuangalia ajali na vifo/majeruhi vinavyotokana na ajali hizo. Lakini ukweli ni kuwa kuna mamilioni ya abiria wanasafiri salama kwa magari kila siku.
 
Udhaifu unaousema hapa ni upi hasa. Mimi naona umeongelea uwezo wa mwanaume kubadilika kufuatana na mazingira ambayo si udhaifu bali uimara.

kweli viongozi wa dini bado wana kazi kubwa duniani!
 
Halafu miaka 12 mingi sana mimi nadhani mitatu hadi minne inatosha kabisa lol
 
Back
Top Bottom