Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Kuwa straight forward sema unataka mwanaume wa kukutoa genye tu ukitaka ndoa tena unajitafutia maumivu mengine kwako wewe na kwa watoto wako, kwa ushauri wangu tafuta kijana ambaye anajitambua awe anakuburudisha taratibu in a descret way hao kuanzia 40 wenyewe utakuta wanamatatizo Kama wewe na pia kwa umri huo nadhani kuna namna utahitaji uhuru kucontrol maisha yako

wala sina genye
 
Hi, Ladydii !! You "sound" intelligent !! And you know what you want. But I dont think you will get it in JF.

JF Imesheheni vijana waliojaa kejeli. Wewe mwombe Mungu tu, siku moja utampata wa kwako.

Lakini:- a) Hujaweka maximum age ya mume unayemtake
b) Kama ukimpata aliye serious, unadhani watoto wako wataweza kum-accept? Maana hapo ndipo penye shida
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Sababu ya talaka ilikuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom