Mwanaume: Kama umeoa usifanye haya ili kupunguza risk za kupigiwa

1. Mfikishe kileleni

2. Kua mwaminifu...mke akigundua mume malaya trust inavunjika...hapo atabebwa na yoyote kupunguza machungu

3. Mthamamini.

4. Mtunze

5. Mheshimu ...wanaume mnadhani heshima.mpewe nyie tu(heshimu wazazi wake/ watu wa kwao)

6 mtendee vile ungependa wewe utendewe

7. Msaidie kutimiza ndoto zake kama yeye anavyokusapoti....

8 mpe hela

9 mpe hela

10 mpe hela

11 msikilize..mfanye rafiki (akiwa na kiumbea aweze kjjupa mkacheka...hata kama huna maana unaongeza bond na ukaribu wenu)

12 mpe hela

13 mpe hela

14 mpe hela
Habari wakuu...

Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo...

1. Usiajiri shamba boy

2. Usimpige mkeo

3. Usiruhusu mkeo awe na boda wake

4. Usiache kupiga show ya maana

5. Usiruhusu mkeo aende kwenye marathons

Na mengine mengi ongezea
 
Siyo vitu vya kuumiza kichwa,hayo pia ni moja ya maisha ya duniani huku tukisubiri kusepa.Don't complicate much....easy easy easy bro
 
Habari wakuu...

Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo...

1. Usiajiri shamba boy

2. Usimpige mkeo

3. Usiruhusu mkeo awe na boda wake

4. Usiache kupiga show ya maana

5. Usiruhusu mkeo aende kwenye marathons

Na mengine mengi ongezea
Hizi zote utaweka ila akiamua kucheat atatafuta njia ambayo hata shetani atashtuka.
Fanya yote , omba Mungu akulindie mke wako na familia yako.
 
Hayo yooote hata usipoayafanya kwa 110 percentage kama wa kugongwa atagongwa tu,muhimu tafuta hela zitakupunguzia stress ukisikia habari mbaya inayomuhusu mkeo.

Mimi huwa naamini kuwa na shilingi hata kama ni ya kutosha kula na kuweza kubadilisha mazingira ni kinga imara sana kwa akili ya mwanaume,so tu-focus kwenye hilo.
Exactly
 
Dawa hapo ni kuroga ku.ma ya mkeo, akienda "kupigwa miti" jamaa akichomeka dushe anang'atwa kama amechomeka mboo kwenye shimo la siafu au mchwa...au wakitaka kutiana jamaa mboo isidinde...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom