Achana nae haraka sana, amegundua hufai kwa kitendo cha wewe kumkubalia kuzaa naye ilihali si mmeo.mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna miaka mitano kwenye uhusiano.
mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna miaka mitano kwenye uhusiano.
Dada hapo una bonge la mtihani
labda alijua ndo itakua defence mechanism ya kuolewa ssa atajuta.................huhMamii ulizaa ili akuoe?
Achana nae haraka sana, amegundua hufai kwa kitendo cha wewe kumkubalia kuzaa naye ilihali si mmeo.
Hana mtihani wowote yeye tu anajipa tabu, badala ya kufurahia mtoto wake ye anakazana kulazimisha bwana akatoe sijui posa sijui ndoa. Kama Mungu hakukupangia huyo kuwa mumeo tulia subiri wako unajikondesha bure tu bibie