Mwanaume kafukuzwa kazi, namuacha

arghhhhh!!!!!!!!!!!!! huna haya gold digger mkubwa wewe....mambo km haya kaa nayo mwenyewe moyoni, sasa sisi tukusaidiaje! hujaonaga nini!!!
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
 
kama ulimpendea kazi yake na yeye anajua hilo mwache mwayego
maana hakidhi tena viwango vya mkataba wenu.....lol
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Vipi mambo yake yakiwa mazuri utamrudia tena? Pole sana kwa kuwa na kichwa kikubwa lakini ubongo wa mende, looh!
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Kwa hiyo wewe ulimpendea kazi?.......fanya kazi na wewe siku hizi maisha ni kusaidiana!......hapo ungekuwa na kazi yako wala usingefikiria kumuacha mwenzio.
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Kwa Ufupi tu ni kwamba:
1.We Ni Kimeo
2.Huna sifa ya Kuwa Mke
3.Hujui thamani ya Mume wala Ndoa
4.Wewe ni Mcharuko aka Kicheche
5.Hutakuja Kuridhika na Mwanaume hata Siku Moja
 
kama ulimpendea kazi yake na yeye anajua hilo mwache mwayego
maana hakidhi tena viwango vya mkataba wenu.....lol

Awapelekee wengine wenye fedha sio?Wachezeee weee mpaka lastic ilegee ujanani,uzeeni apate lakuhadithia wajukuu wawenzake maana hatopata wajukuu kwastaili hii!
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Natalia!Jina zuri,mambo yako yote kihoiyo street!Unavaa nguo yandani kweli wewe?Maana nakuona uko tayaritayari..... Wakati wote!Usitafutie BAN BURE,sisomi post zako mwisho leo!
 
Watu wengine Bwana...Mpaka wapost humu ili tuchangie ndo wanaona Raha..Natalie we ni KIMEO...Leo ni mwisho wa kufuatilia post zako..Huna lolote wala huna haya
 
Master's ya nini??

Umemsikia DC wa Korogwe??

Sorry kama unayo ya Harvard!

Babu DC!!

Babu umenichekesha.

Mjukuu Natalia ni msomi tatizo utulivu, ungia darasani babu.

Na kwa DC wa Korogwe unajalibu kurelate elimu na lugha za wajukuu zako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom