Mwanaume kafukuzwa kazi, namuacha

Kuna sred moja alisema yuko >35, ameolewa na ana mtoto

Kuna watu huwa wanapata premature menopause, labda ina mathara kwa uwezo wa ubongo.

huyu dada kama anavyopost humu ni kweli basi ana matatizo makubwa sana........nikiambiwa nichague kati ya hela,kazi,mke au kujitambua..nitachagua kujitambua
 
Mbona umejumuisha wote.............nilidhani we ni mpinga generalization, mbona mabinti wa staha zao wako wengi

Kunradhi bibie.

Ila wenzenu wanawapaka matope mpaka ma walii wa kupinga generalization wanaghafilika.

Nimetumia fasihi zaidi kutaka kuonyesha uzito wa tatizo, naelewa kuna wanawake murua kama mchumba angu anayenipa matumaini katika dunia iliyojaa wasiwasi, anayenikata kiu kama maji safi kwa msafiri aliye katikati ya Gobi au Sahara.

Kwa hiyo najua kuna upande wa pili wa habari hii.

Ila nimepata moyo kwamba kuna wengine wengi hamtaki kuwekwa kundi hilo.

Labda tutaoa after all. :)
 
Babu Dark City, hivi mid life crisis huwa inaanza umri gani??

Je mtu anaweza pata pre mature mid life crisis??

Na premature menopause huwa ina athari gani kwa binadamu.

Mbona umeamua kunisulubu kiasi hicho Kongosho,

Ngoja nirudi kwenye darasa, labda nitapata majibu!!

Babu DC!!
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Kwa kweli nimeshindwa kukusoma..najaribu kufungua posts zako zote lakini sielewi unasimamia hoja gani..
Ngoja nisome tu comments za wengine!!
 
Kunradhi bibie.

Ila wenzenu wanawapaka matope mpaka ma walii wa kupinga generalization wanaghafilika.

Nimetumia fasihi zaidi kutaka kuonyesha uzito wa tatizo, naelewa kuna wanawake murua kama mchumba angu anayenipa matumaini katika dunia iliyojaa wasiwasi, anayenikata kiu kama maji safi kwa msafiri aliye katikati ya Gobi au Sahara.

Kwa hiyo najua kuna upande wa pili wa habari hii.

Ila nimepata moyo kwamba kuna wengine wengi hamtaki kuwekwa kundi hilo.

Labda tutaoa after all. :)

Uko sawa kabisa....................Kuoa utaoa tu since unaye mchumba wa viwango.......lol
 
basi ngoja nimwite na AshaDii anaweza kunisaidia.

Huyu binti alinichanganya from day 1, ana post kama kindagateni.

Mbona umeamua kunisulubu kiasi hicho Kongosho,

Ngoja nirudi kwenye darasa, labda nitapata majibu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
@natalia fanya kazi wewe unataka uwe kama kinda la ndege unapokea tu, unafikiri kuna mti wa hela jamaa anachuma tu, watu mpaka inabidi waibe kuwafurahisha wanawake kama wewe, hunipati ng'oo na ukisema unaondoka nakuacha kwani dunia nzima mwanamke ni wewe? hujasikia ratio ya wanawake na wanaume ni 13:1? wanawake 13 mwaanaume mmoja sasa ukienda nenda bado nna 12 choices to choose
 
Natali aisee thread zako zina nifurahisha sana! Nimejaribu kufuatilia nikagundua!
Unajaribu kupima upepo. Hakuna ukweli kwenye thread zako!

We ni muigizaji mzuri!
 
Tunashukuru kwa taarifa hata hivyo umechelewa kuisema hatutaiingiza kwenye hansad..
Nextym muache kabla hujaanza kumpotezea muda.
 
Nina masters degree I want advise ok .you don't have to comment

then master degree yako haijakukomboa....
Mtu mwenye masters bado anategemea wanaume ili aende shopping?
Mwenye masters anategemea kuhongwa gari?

Loh huyo mwanaume heri akuache, huna faida nae....
Kama mwenza na masters yako huwezi kumwinua mumeo pale anapoanguka wa kazi gani?

Na nyie wanaume sio kila mwanamke mradi ameng'ara unamkimbilia....
 
Umeona BADILI TABIA....,????

Hata mie bado najiuliza sana, hivi huyu Natalia ni binadamu wa kawaida au aina fulani ya robbot inayovaa nguo za kike??

Babu DC!!

namhurumia mumewe.... Alijua amepata wa shida na raha kumbw alipaja jini mla fedha......... Sasa kaanguka binti anawaza shopping.... Halafu ana masters walahhhhi
 
Last edited by a moderator:
hili suala loko mahakamani, haliongelewi hapa.

Kamati ya tamisemi inakutana chit chat

kamati ya infi inakutana MMU

basi, tutaendelea kesho.

Tunashukuru kwa taarifa hata hivyo umechelewa kuisema hatutaiingiza kwenye hansad..
Nextym muache kabla hujaanza kumpotezea muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom