Mwanaume jijini Dar es Salaam akifurahi kukutana na MwanaFA

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,425
super fan
Untitled.png
 
Ni sifa zipi hasa hutumika mpaka mwanaume kuitwa 'mwanaume wa dar' isijekuwa mimi pia ni mwanaume wa dar.
 
Sema bora yeye kikwapa kakipiga chakoni,.Maana wangine hapo ingekuwa kama kambana utongwa kwapani.
 
Back
Top Bottom