Mwanaume : Hujawahi lengeshwa au singiziwa mtoto. Hujakamilika

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
452
624
Vijiweni kwetu vya ghahawa, wadau wanadai kama Mwanaume hujawahi lengeshwa au tegeshewa mwanamke apate mimba, hata ya kusingiziwa, basi wewe hujakamilika, huna mvuto, huna uwezo kifedha, yawezekana hata mbegu zako hazina mvuto kwa wanawake!
Je ni kweli? JF wanasifika katika kuchambuwa mambo ya kijamii kama haya, ebu njooni tuseme kama ni kweli au pumba, au ni ufala na ulodi lofa..
 
Labda wanaume wa buguruni na huko keko toroli. Hivi ni kwanini upumbavu ka kasehemu fulani mnapenda kutaka kuufanya uonekane kama ndiyo general rule? Au ni kwa sababu wapumbavu ndiyo pekee wenye ujasiri wa kuzusha na kusambaza vito na kuviongea kwa ujasiri na kujiamini?
 
Back
Top Bottom