majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 628
Vijiweni kwetu vya ghahawa, wadau wanadai kama Mwanaume hujawahi lengeshwa au tegeshewa mwanamke apate mimba, hata ya kusingiziwa, basi wewe hujakamilika, huna mvuto, huna uwezo kifedha, yawezekana hata mbegu zako hazina mvuto kwa wanawake!
Je ni kweli? JF wanasifika katika kuchambuwa mambo ya kijamii kama haya, ebu njooni tuseme kama ni kweli au pumba, au ni ufala na ulodi lofa..
Je ni kweli? JF wanasifika katika kuchambuwa mambo ya kijamii kama haya, ebu njooni tuseme kama ni kweli au pumba, au ni ufala na ulodi lofa..