Mwanaume,Fuata njia hizi, Mwanamke hakukatai ng'oo

Hii mbinu hainifai... Minataka within a week mambo yakae vyema nikagegede.... Sasa haya mambo ya miez my friend
 
Nakushauri Mwanamme Njia Rahisi ya kumpata Mwanamke yeyote Mrembo unaetamani kuwa nae Ni moja tu we Tafuta hela,yaani uwe na Hela Isiyo ya mawazo,Mpatie hela yaani we mpatie tu hela narudia tena mpatie hela hutahangaika hata kumuomba namba Atakuomba yeye, na text atatuma yeye na kukupigia atakupigia yeye Hela ndo chambo cha mwanamke yeyote Hata kama una kibamia ukiwa na hela atakusifia kuwa una dushe balaa hela,hela hela
Doooh hela sio kla ktu mda mwngne mkuu
 
Back
Top Bottom