Mwanaume epuka haya itakuongezea heshima na kujiamini

Hiyo no 4 inanitesa mpk sasa kazini kwangu natamani sana nisingefanya kosa la namna ile

sent from toyota Allex
 
Mwanaume anaetembea na house girl wa nyumbani kwake namdharau sana. Namdharau sana tena sana.Yani huyo ni baradhuli wa kwanza. Kukosa adabu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na nyie muache kutuletea vihausigeli vya hovyo, hizi sampuli sijui huwa mnazipata wapi na ni kama nyingi zinafanana.... mlete tu ‘visu’ ili hata mumeo akiteleza isiwe ‘amekudhalilisha’ sana.
 
Haswaa.
Mtu pekee wa kufanya naye mapenzi ni mke wako tu, mwanamke mwingine yoyote mkwepe kama moto. Ukifanya hayo utapata heshima kwa Muumba wako na watu wote. Na yote kwa yote utaishi kwa amani na furaha fulani hivi.
Na wenyewe wakishajua hauna mchepuko basi kila siku watakuringia kukupa kitumbua mpaka utakoma.
Hakuna anayependa chepuka Ila wanawake pasua vichwa. Unakuta mkiona miezi ya mwanzon kila siku utaipata, baada ya mwaka utapewa mara moja Kwa mwezi tena baada ya kulazimisha.
Hapo ndo ukute mshedede umeshasimama siku tatu hujapata kitu na hausegeli anapigia na kanga moja upaja mweupeeeee. Unasema Kwanza hizi nyege nikazimalize Kwa waifu unaenda mtomasatomasa anakufinya makende au akuzuga tumbo linauma. Hapo kwanini nisiende nikale cha dada wa KAZI. Na siku hizi unakuta vimennona kama nini.
NB. Tunalazimishwa chepuka na wake zetu mtutake radhi
 
Nionyeshe mtu mmoja ambae anakula mkewe tu nami nitakuonyesha mtu aliyekaliwa kichwani na mkewe. Na hawa waliokaliwa kichwani wakipata upenyo ndio wanaendaga mtaa wa Sudan, kimboka, Mwananyamala, Meda etc.
Kweli wanawake pasua vichwa
 
A salaam aleyqum wakuu.

Hongereni sana na michakariko ya kutwa.

Naomba radhi kwa nitakaowakwaza japo sina nia ovu moyoni bali katika hali ya kushea na kujengana na kushikana mikono ili kila mmoja wetu aishi katika hali ya heshima na thamani ya kibinadamu.

Wanaume majumbani kwenye familia, makazini, mtaani na kwenye jamii yote inayotuzunguka tunapambana na kila aina ya changamoto.

Nyingi ya changamoto hizo ni zile za mahusiano zinazopelekwa kwa nje tuonekane nadhifu na waadilifu ila linapokuja suala la kutumia akili na utashi kwenye mahusiano tunaonekana watu wa hovyo sana mbele ya familia na jamii.

Mwisho wa yote ni kudhalilika na kuishi kwa majuto makubwa na laana juu yake.

Bandiko langu limejikita kijamii zaidi kuliko kidini maana kila mtu ana dini yake humu.

Mwanaume hasa ulie katika ndoa kwa maana ya kuwa na mke/wake jitahidi sana kuepuka haya makundi na hutojuta maishani mwako.

1. Kufanya mapenzi na housegirl wako.
Vibinti vya kazi vya siku hizi ni hatari tupu, haviogopi baba mwenye nyumba. Ndugu yangu jitahidi siku zote usiingie mtego wa majuto.

Bora ujute kumkosa kuliko ujute kumpata . Ukijijengea roho ya kutofanya mapenzi na mabinti wa kazi itakujengea heshima kubwa sana kwa familia yako na jamii unayoishi.

2. Usifanye mapenzi na rafiki wa mkeo ama ndugu wa mkeo.

Epuka sana kufanya mapenzi na hilo kundi kama wewe ni mwanaume wa kweli maana kinyume chake utaonekana ni mtu wa hovyo na mchafu mbele ya jamii.

3. Usifanye mapenzi na mtu wa jirani yako, mtaani kwako ilihali wanamfahamu mkeo. Ukiweza kudhibiti hisia zako na nidhamu utaonekana we mwanaume wa maana sana.

Itakujengea kujiamini na kuaminiwa na watu wanaokuzunguka. Hutojutia maishani mwako.

4. Usifanye mapenzi na mfanyakazi mwenzako ofisini.

Hii itakuepusha na migogoro isiyo ya lazima na kukufanya mtu smart na mwenye kujiamimi sana mbele ya jamii yako. Huwezi jutia maishani mwako.

5. Usifanye mapenzi na boss wako ama subordinate wako mahala pa kazi.

Hutojutia uamuzi wa kutofanya hivyo sanasana itakuongezea kuaminiwa na heshima na utaonekana ni mwanaume wa kweli kwa familia yako na jamii yako.

6. Usifanye mapenzi na mwenye nyumba/mpangaji wako.

Hapa wengi wamedhalilika mbele ya familia zao kwa kurndekeza ujinga huu.

Ukijidhibiti na hii tabia itakujengea heshima sana.

Yapo mengi waweza kuweka na ya kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba sita ina madhara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume anaetembea na house girl wa nyumbani kwake namdharau sana. Namdharau sana tena sana.Yani huyo ni baradhuli wa kwanza. Kukosa adabu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia Dada wanaume tunarogwa sana tena sana, amini nayo kwambia usipo niroga wewe mke wangu house girl atanitamani tuuu hata iweje??? ataniroga tu!! ili nimpende!! siku ya kwanza akija kufanya kazi humpendi ajabu akikupikia siku mbili tatu upendo huoooo!! umetoka wapi huo!!!

wanaume ma hand some wote!! hatuna pa kukimbilia wanawake ni wachawi sana tena sana sijakosea km hurogi wenzako wanaroga sna tena sana mahali salama ni kwa mama mzazi tu!!! dada anaweza kukugeuka pia!!!

wao hawana nguvu za kutushika kwa lazima wanatubaka kwa midawa!!! hata mwanao wa kufikia anakubaka vizuri tu!! na unaza nae!!! amini nasema wanaume wengi ni waoga kubaka, miaka 30 jela??? lkn vitoto vinajibakisha!! hata dadako anakubaka tu!! na utaingia line!!
 
Back
Top Bottom