Mwanaume epuka haya itakuongezea heshima na kujiamini

Ukishatoa makundi yote uliyoyaainisha basi hakuna sababu ya kufanya mapenzi kabisa...na nani kwani?
 
Namba moja tu ndo inawezekana kirahisi, hizo nyingine unahitaji nguvu ya ziada kutegemeana na mazingira maana mara nyingi uzinzi hufanywa kwa siri na hufanywa na watu wanaofahamiana unless uchukue changudoa. Halafu si kufanya mapenzi ni kuzini au kufanya ngono. Mapenzi yanafanywa na mke na mume.
 
USEMAYO NI SAHIHI LAKINI KWA KIZAZI HIKI CHA SASA NI NGUMU KUTEKELEZA
 
Back
Top Bottom