Mwanaume bila pesa kupata mwanamke ni kazi

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,067
Kila mwanaume najua pesa za kubangaiza ila namanisha pesa za kutosha aswa kwa kijana anaeanza maisha ni ngumu kupata mwenza kila mahusiano utakayoanzisha yatavunjika kwa mda mfupi nakukuacha na hali.ya sitofahamu

Maisha ya kuvumuliana yalikuwa zamani utachopata hicho hicho atalizika... Hali imekuwa tofauti kila mwanamke anataka apige picha insta akiwa na nguo mpya kila siku kwa maisha haya wanaume wenye pesa za kutosha wataendelea kushobokewa
 
ndio myaoneee.....wanawake ni bonge la burudani...wewe tafuta pesa ugegede tuu. hamna mapenzi siku hizi. ni tamaa ya ngono na tamaa ya pesa.
 
Kila mwanaume najua pesa za kubangaiza ila namanisha pesa za kutosha aswa kwa kijana anaeanza maisha ni ngumu kupata mwenza kila mahusiano utakayoanzisha yatavunjika kwa mda mfupi nakukuacha na hali.ya sitofahamu

Maisha ya kuvumuliana yalikuwa zamani utachopata hicho hicho atalizika... Hali imekuwa tofauti kila mwanamke anataka apige picha insta akiwa na nguo mpya kila siku kwa maisha haya wanaume wenye pesa za kutosha wataendelea kushobokewa
kwa hiyo usione mdada anachekerea insta, kuna mtu anakuwa kaumia?
 
na muache uongo pia eti mwanamke anataka apige picha insta afanye show off msitusingizie kihivyo jamani looh!

tafuta wa size yako uone km utakataliwa

hivi wewe pangu pakavu ukatake wa kishua wa mbezi beach baba mama tajiri jamani...hivi mbona tofauti

kingine unaanza na mwanamke chini ukifanikiwa baba unaanza kiburi,umalaya nk
haya mambo hebu yaangalieni pande zote

msiwe watu wa lawama km wali vigego
 
ni kweli kama hauna pesa utaishia kula Mafull beki A.K.A madereva masufuria tuu
au akupende mwenyewe tuu
 
Nyie tafuteni hela

Omba ukutane na sise yako

Wakati unaomba ukutane na sise yako hakikisha nawe unazotabia za yule unaemtaka...
 
[HASHTAG]#Free[/HASHTAG]MaxenceMelo
[HASHTAG]#Justice4Lema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BBBenAlive[/HASHTAG].
 
tatizo lenu kubwa mnapenda masista duu wale wa maisha ya katika kioo kama wewe huna uwezo wa kununua milace wig ya milioni unaenda kwa mwanamke kama huyo wa nn? mbona kuna wadada simpo tu
 
Umaskini mbaya sana....siku ukipata hela ndio utajua kuwa hela sio kila kitu kwa kila kitu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom