Mwanaume asiye na pesa hupendwa na mama yake tu

Salam,wanaume tujitahidi kusaka Euro kwa kila hali.Hakuna mwanamke anayependa shida.Tuache usharobaro wa kuchagua kazi,Kama huna hela hata za kumpa mahitaji madogo mpenzi wako unamuweka mazingira magumu ya vishawishi.Die trying to get money
Kweli, hakuna mwanamke anayependa shida. Hata sisi wanaume hatupendi shida. Ila bado kuna wanawake wenye upendo wa dhati ambao hata ukiishiwa ataendelea kukuvumilia. Ila pesa kwenye mapenzi ni kiungo muhimu sana, inanogesha penzi.
 
Huwa mnazungumzia Pesa ktk mantiki ipi???

Pesa yaan Don...Pesa kwaajili ya Kujiendesha kimaisha yaan kupata huduma zote???


Navyojua amna mwanaume asiye na pesa
.. Ila tumezidiana Pesa.
Na kwakua tumezidiana basi kila mmoja akapewa mwanamke wa hadhi yake .


Ukiwa wa chin... Utapendwa nawachin

Ukiwa wa kati...utapendwa na wakati

Ukiwa wa juu...utapendwa na wajuu.



Sema nini??WANAWAKE WANAPENDA SANA A 'POWERFUL' MAN... Mwanaume ambaye hawez kuuza uanaume wake ,uwe na Pesa uwe hauna .

Una Pesa lkn hauna Uanaume huo, utatombewa sana.

Uwe hauna pesa nabado hauna uanaume, ndo kabisaaa utatombewa sanaa maana weee hauna hata chakumfanya avumilie



Ila nn, hawa wanawake mkiwajulia, wala msingekua mnajilaumulaumu nakujilaan kua "Kakuacha sababu huna hela".



Jamaa wangapi ni Madon lkn tunawatombea sana tu wake zao??

Jamaa wangap ni masikin lkn nao tunawatombea sana wake zao???
 
Of course nikizipata huwezi kua peke ako so inabidi mzidi kutuombea zizidi kuwa nyingi ili na wenzenu pia wafaidi


Nadhani tumeelewana
 
Salam,wanaume tujitahidi kusaka Euro kwa kila hali.Hakuna mwanamke anayependa shida.Tuache usharobaro wa kuchagua kazi,Kama huna hela hata za kumpa mahitaji madogo mpenzi wako unamuweka mazingira magumu ya vishawishi.Die trying to get money
Same shit na mwanamke asie na tako hupendwa na baba ake mzazi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom